Search results

  1. T

    App ya kutafsiri sauti. Eg from german to swahili

    Habari wana jamii forum naomba msaada wa kujua app inayoweza kutafsiri sauti, mfano nasikiliza voice au short vidio ya kijerman inanitafsiria kiswahili moja kwamoja, naomba mwenye kujua anisaidie.
  2. T

    Youtube app ambayo haina matangazo

    Habari wana jf. Naomba msaada wa youtube app ambayo sio ya kulipia na haina matangazo.nimetumia vanced siku moja haifanyikazi tena ila ni nzuri haiweki tangazo hata moja.
  3. T

    Application inayo dowload nyimbo youtbe na hata nikibadilisha simu nyimbo zangu niendelee kuwanazo kwenye simu mpya.

    Habari wana jamii naomba mwenye kujua app nayoweza kudownload nyimbo na hata nikibadili simu nizikute mgano picha kwenye google photo nikibadili simu nazikuta.nataka kwa nyimbo sasa. Maana natumia vidmate na tube mate lakini nikibadili simu naanza kudownload upya.msaada mwenye kujua
  4. T

    Naomba app za bure za kuchat na gpt

    Ndugu nazidi kuja kwenu kuomna msaada wa kujua app za bure za kuchat na gpt maana nimeona kule unaweza kuwa na shida ikasaidia kukupa maelekezo. Nilipata moja ya bing nimechat nae kanikatoa mawasiliano gafla afu hataki kuchati tena na mimi
  5. T

    App inayo convert jpg/pdf to word .

    Wanajamii forum nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano. Naomba anaejua app inayoconvert docment iliyopigwa kama picha au pdf kuipeleka kwenye word. Ambayo ni ya bure hailipiwi
  6. T

    Nimekuja na mrejesho wa Samsung A series

    Habari wadau niliomba ushauri hapa simu ipi bora kati ya samsung galax a 33 au a345g. Nimenunua a345g nimegundua hizi simu za a series ni infinix iliyochangamka. Sijazoea samsung za hivi jamani, sijapenda kabisa. Na ni simu original nimeipima vya vipimo vyote vya bimei, ma sensor sijui. Mliowahi...
  7. T

    Simu ipi ya samsung a serries ni bora kati ya a33 5g na a345g

    Habari wadau naomba msaada nina badget ya 700k nataka simu nzuri ya samsung .mwanzo nilikuwa natumia samsung note 8 lkn hii inasumbua haikai na charge sana. Ni ipi simu nzuri katika hizo. Hasa kwenywe camera,ram,rom,na vingine mfano android version na kama ina update version.
  8. T

    Simu haiwaki hadi nichomeke kwenye charger

    Habari ya muda huu wadau. Naomba msaada mwenye kujua , nina simu samsung galax note 8 imetokea tu nachage inajaa nikichomoa kwenye charger inazima nikiweka kwenye chager ikaiwasha inawaka. Nikichomoa nikawasha haiwaki . Ila imejaa ina asilimia 100. Tatizo linaweza kuwa nini
  9. T

    Msaada wa kufuta group la Facebook

    Habari wana JF, Kuna group la FaceBook limefunguliwa ili wanitukane naomba msaada wa kulifuta nikiwa sio memba wa group hilo. Asanteni
  10. T

    Simu ipi nzuri kati ya Samsung Galax s9 au Sony Experia xz3

    Habari wadau, Naomba msaada wenu mnishauri simu ya kununua nikizingatoa zaidi ram, rom, battery. Ushauri wenu please.
  11. T

    Naomba kujuzwa jinsi ya kuangalia Afya ya Betri ya simu (baterry health)

    Habari wanajamii forum, Naomba kujua jinsi ya kuangalia afya ya betry ya simu. Mfano vile wanasemaga bettrry ina 100℅ au 86% au 50% naingiawapi natokea wapi. Kuna mtu anataka kuniuzia simuyake ni nzuri inashika net fresh ila sijajua health ya baterry
  12. T

    T mobile Samsung galax s9 inasumbua.

    Ndugu wana JamiiForums forum naomba msaada kwa mwenye kujua Jinsi ya kurekebisha hiyo simu. Ilikuwa na line mbili inashida ya network kwenye upande wa data , ila kupiga inafanya kazi kama kawaida. Na net ilikuwa inashika kwa baad hi ya maeneo na mengine haishiki hasa sehemu nayoishi. Nikapeleka...
  13. T

    Natafuta dawa inaitwa naloxone

    Habari wana jf natafuta dawa hiyo hapo mimi ni muhanga wa tramadol niko dependant so dawa yaweza nsaidia ni hiyo lakini Tanzania hamna zipo kenya au uganda. ila kuna baadhi ya pharmacy zipo sasa natafuta anaejua anisaidie nizipate.
  14. T

    Msaada wa kutengeneza simu

    Ndugu wanaJamiiForums heshima kwenu. Nilinunua simu ya Sumsung Galax S8 ambayo ni hizi wanaita T-Mobile. Sasa simu ina line 2 lakini inatumia line moja kipart kingine cha kuweka simu hakisomi, 2G na 4G ndo inafanya kazi lakini 39 haifanyi kazi japo inashika ila ukitaka kutumia mtandao...
  15. T

    Wapi naweza kupima ugonjwa wa lupas

    Habari wana jamii, Naomba msaada wa kujua wapi naweza kupimwa ugonjwa wa lupas maana ninashida moja inanitokea mwilini sasa nimemsikiliza dada mmoja hajrati mwenye ugonjwa wa lupas naona kama namimi ni wenyewe lkn nataka nipime kwanza ni wapi kwa dar naweza pata kipimo hicho.
  16. T

    Habari wadau nimeathirika na tramadol yani niko tramadol dependant

    Habari viongozi mimi ni mwanamke wa miaka 40 hivi kuna kipindi niliugua sana kiuno nikawa napewa tramadol nikawa nasikia nafuu kubwa sana. Sasa nimekuwa deoendant siwezi kumeza tramado saivi nameza hadi vidonge vinne kwa pamoja ndo zinafanya kazi. Bila hivo siwezi kufanya chochote bila kumeza...
  17. T

    Naomba kujua bei ya iphone 8

    Ndugu wadau wa jf naomba mwenyekujua bei ya simu hii iphone 8, mpya originala. Kingine naomba mwenyekujua hii simu anijuze nataka kutumia hii simu ikoje katika matumizi yake kati ya hii iphone 8 na iphone 8 + . Na iphone 7 ipi bora japo mimi nimependa iphone 8 kwasababu ni ndogo kuishika...
  18. T

    Simu Samsung Galaxy S8 haishiki mtandao wa Halotel

    Habari wana Jamii Forums naomba msaada mwenye kujua nina simu mpya ya Samsung S8 inashika network ya Tigo na Voda lakimi haushiki Halotel ambao ndo mtandao ambao uko available sehemu ninayoishi. Unakuta inashika network inaandika h+ lakin ukisearch kitu hakiji mfano Youtube haifunguki hata...
  19. T

    Simu haishiki network

    Nimenunua simu aina ya Samsung Galaxy tab A6, haishiki network yoyote lakini nilivoingia ndan kwenye setting - conection ile phone network hilo neno halipo kwenye simu. Je inawezekana simu haina network, au kuna jinsi ya kuinstall kwa kutumia Wi-Fi maana nikiconect na Wi-Fi naweza kudownload...
  20. T

    nikiwasha data kuna aplication zinakuja nidownload na matangazo

    Habari wana jamii forum nima simu sumsung s8 ndo nimeanza kuitumia sasa nashangaa kila nikiwasha data kuna application zinakuja nidowload maana inaandika download app afu inakuja na makelele ajabu usia time to drink water inapiga kelele sivitaki hivo nifanyeje? Kingine vimatangazo tangazo vingi...
Back
Top Bottom