Wapi naweza kupima ugonjwa wa lupas

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
421
250
Habari wana jamii,

Naomba msaada wa kujua wapi naweza kupimwa ugonjwa wa lupas maana ninashida moja inanitokea mwilini sasa nimemsikiliza dada mmoja hajrati mwenye ugonjwa wa lupas naona kama namimi ni wenyewe lkn nataka nipime kwanza ni wapi kwa dar naweza pata kipimo hicho.
 

Incredible

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,031
2,000
Nadhani lupus kwa Tanzania pana ugumu kupata vipimo sahihi. Ndugu yangu alipata huku nje ya nchi lakini madaktari walichukua muda mrefu kukubaliana kwamba ni lupus.

Ukiona unapata dalili nyingi za lupus, nashauri Google vyakula ambavyo havifai for lupus patients na uviache. Hatua ya pili, nenda kwenye hospital za homeopathic kwani hao ndo wana dawa za lupus.

Huyu ndugu yangu alikuwa akijaa maji kwenye lungs na tumbo na kila mwezi ilikuwa akitolewa maji hayo. Tulipo anza dawa za homeopathic, maji yalianza kupungua na kisha kuacha kabisa.

Kwa Tanzania, najua homeopathic clinic moja ipo Dar opposite na hindu mandal hospital. Dawa hizo zinasaidia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom