Ndugu wana JamiiForums forum naomba msaada kwa mwenye kujua Jinsi ya kurekebisha hiyo simu. Ilikuwa na line mbili inashida ya network kwenye upande wa data , ila kupiga inafanya kazi kama kawaida. Na net ilikuwa inashika kwa baad hi ya maeneo na mengine haishiki hasa sehemu nayoishi. Nikapeleka kwa fundiakabadilisha file kwakuwa alisema original yake ni file ya line 1. Akabadili file ikiwa simu Ina line moja na fundi akanihakikishia akizeeka file la line 1 itakuwa imepona kabisa sasa Alivobadili file ikiwa haishiki kabisa nikamuomba arudishe file la zaman kwakuwa nilikuwa naweza kupiga na mesage sasa kashindwa anasema simu imekuwa updated na inavitu vingine zaidi ambapo file hilo amelitafuta halioni tena mfano anasema kuna kitu kina iets binary kabla hajabadili file ilikuwa ina binary 3 na baada ya kubadili na ku up to date I kawa na binary 4 . Simu umekuwa sio simu tena naomba msaada. Mwenyekujua ma I. T karibu ni kina chief Mkwawa na wengine mnaojua nisaidien , kama kuna file lingine anaweza EK’s na Ilses mzima kama mwanzo.