Search results

  1. Mkulima2002

    Wapi lilipo kundi la hard blasters crew

    Advocate, Naitafuta sana hii album yao ya Funga Kazi nimemuomba sana Prof Jay naona hata anijibu
  2. Mkulima2002

    Kati ya Professor, Michael Scofield na Walter White nani alitumia akili ya juu?

    Michael S. Ni muigizaji mzuri akionesha upendo wa dhati kwa kaka,rafiki,hata watu ambao hakuwa na undugu nao. Ametufundisha kumtumia mtu kulingana na uwezo na akili yake. Proffesor. Si mbaya sana ila ameonesha uoga hadi kufikia hatua ya kutetemeka pale ambapo mipango yake inapotaka kuvurugika...
  3. Mkulima2002

    Gimba lenye kipenyo cha zaidi ya maili moja, litaipita dunia, Jumatano

    Daah.. Mungu alipishe mbali na Dunia kwa kweli....
  4. Mkulima2002

    Hamza Bendelladj "the smilling hacker"

    Huyu hakuwa wa kunyongwa angefaa kuchukuliwa wakubwa kama FBI awasaidie kwenye mbishembishe zao, au hata vodacom mixer tigo
  5. Mkulima2002

    Najuta kuwahi kuoa, mke wangu hanivutii tena

    Hisia kama hizi ndo badae huibua mambo ya ajabu yasiyo na faida kwako na kizazi chako.. Mpende mkeo kwa moyo wako wote aisee tamaa za macho zisikuzingue .. huyo ndo Mungu kakupa na kawapa watoto.. pia tulia mlee watoto
  6. Mkulima2002

    NHIF mnatuvuruga wananchi mbona kama hamjielewi tatizo ni nini?

    Chief nadhani wewe ndo uache ushabiki mandazi na unavyoonekana hujawahi kuuguliwa na ukakuta bili ni M10 au zaidi.. nakuhakikikishia hiyo Mil 1.5 (ambayo inajumuisha watu 6) ni ndogo mno ukilinganisha na huduma za afya zilivyojuu ampapo mtu anaweza kutumia hata zaidi ya mara zote ya...
  7. Mkulima2002

    NHIF mnatuvuruga wananchi mbona kama hamjielewi tatizo ni nini?

    Uko sawa mkuu.. Tatizo WaTz wengi hatuna elimu ya Bima ya afya.. Mtu anakwenda kukata bima ya afya baada ya kuumwa.... akikuta kuna taratibu zimewekwa na anatakiwa kuzifuata anaona kama anaonewa na kulalamika ovyo.. Ukifanya mlinganisho na nchi nyingine BIMA ya afya ya Tanzania NHIF ni dezo dezo...
  8. Mkulima2002

    Magari aina ya BMW na Mercedez Benz huwa na matatizo gani?

    Mkuu Isanga family vipi kuhusu hizi disco Td5 huko majuu zipo?.. pia nazipenda sana hizi chuma
  9. Mkulima2002

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta wimbo wa Sophia uliimbwa na Bushoke.. nakumbuka mara ya mwisho niliusikia 2005..
  10. Mkulima2002

    Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

    Kweli wewe ni fundi mzuri.. jinsi tuu unavyojibu maswali.. Kazi njema mkuu
  11. Mkulima2002

    Kajenga viwanda elfu 3 ndani ya miaka 3

    Daa Mwija Mwija baba.... Ameondoka na utaalamu wake wa Viwanda.. kama alivyotanabaisha N way wateuliwa chapeni kazi....
  12. Mkulima2002

    Hongera Jamii Forums

    Salaam wana Bodi. Kwanza niwape pole na uchovu wa majukumu halali ya mchana kutwa. Niende moja kwa moja kwenye lengo la bandiko hili. Nikiwa mdau kindaki ndaki ya Jumuiya hii ya jamii forums nilishtushwa na kichwa cha Uzi mmoja unaosema "JAMII FORUMS INAWEZA KUTOWEKA HEWANI" Ebana yaan nilihisi...
  13. Mkulima2002

    Tabia za wanasheria wa kike ziko vipi?

    Wako sex kinoma noma.. Sema wanaona kama makao makuu ya Sheria wameyashililia wao Duuh
  14. Mkulima2002

    Tuambie huko kwenu nafaka kama mahindi wanauza Tsh ngapi?

    Serikali mbona ilisha Serikali mbona ilishafungua mipaka coz kuna ki-crip nilikiona cha waziri mwenye dhjamana na Kilimo akisema "serekeli" haijazuia kuuza mazao ya kilimo nje ya TiiZii.. N way Jembe halimtupi mkulima
Back
Top Bottom