Mkulima2002
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 291
- 216
Salaam wana Bodi.
Kwanza niwape pole na uchovu wa majukumu halali ya mchana kutwa.
Niende moja kwa moja kwenye lengo la bandiko hili. Nikiwa mdau kindaki ndaki ya Jumuiya hii ya jamii forums nilishtushwa na kichwa cha Uzi mmoja unaosema "JAMII FORUMS INAWEZA KUTOWEKA HEWANI" Ebana yaan nilihisi kama nimemwagiwa maji tena maji ya Betri... Basi bana ikabidi niendelee kusoma yaliyoandikwa ndani zaidi japo kwa unyonge.. mara paaaap nikakuta kumbe ni kwa dhumuni la kuimarisha ulinzi.. basi hapo ile hali ya kuhisi kama nimemwagiwa maji ikatoweka kusiko julikana. Mpaka sasa tunashuhudia JF yeti iko salama na tunazidi kuinjoi Miji uzi ya ukweli..
Nitoe Pongezi kwa wanaJF wote hasa uongozi wa JF kwa kuongeza ulinzi wa jukwaa letu hili dhidi ya mvamizi yoyote yule.
Nawatakia usomaji mwema wa nyuzi mbali mbali za humu.
NB: Ni vema ukajipatia kikombe cha gahawa saaafi kabisa bila kusahau kijisahani cha Korosho saaafi kabisa.