Search results

  1. Joblee

    Kapeace Kapeace kapeace..

    ....
  2. Joblee

    Scarf za Mh. Mwigulu Nchemba zina maana gani?

    Huu ni uzalendo tu wa Mheshimiwa na Nchi yake au??
  3. Joblee

    Kadi ya mpiga kura

    Wakuu tangu ile October nilipochovya kidole changu cha mwisho baada ya kutumia kadi yangu ya kupiga kura.. Leo baada ya speech ya uzinduzi wa ujenzi wa Fly over [Ubungo] nimejikuta naitafuta na kuanza kuifuta vumbi....
  4. Joblee

    Zile Pushup za Jukwaani

    Nilidhani tungeishia kuongozwa na zile Pushup za jukwaani ila sasa naona kama GYM limehamia White House....
  5. Joblee

    Nchi ya viwanda TANESCO Mungu anawaona

    Miezi zaidi ya miwili sasa umeme Siku moja upo inayofua haupo hususan mda wa mchana Kwa mwezi mmoja tunapata umeme siku 14 Viwanda huwa vinachakata raw materials ili kupata bidhaa mwisho.. Kuna ndugu zangu wa welding nao no viwanda pia.. Nasema hivi kwa kuwa huenda kwenye viwanda vikubwa...
  6. Joblee

    Mshana Jr yuko wapi, mbona anapotea sana siku hizi?

    Wana JF natumahi wote mko poa.. Sina nia ya kumjua Mshana kiundani kwani hata nikitaka huenda akazuia ufaham wangu wa akili... Mara kadhaa sasa amekuwa akipotea humu Jukwaani na hili linatambulika waziwazi kwa kuzimiss post zake.. Tukiachana na wasifu wa kazi yake "mortuary attendant"...
  7. Joblee

    Nimejisahaulisha kuhusu SCORPION ila badoNamkumbuka...

    Ni mda sasa huyu jamaa kashatutoka akilini... Hata mada zake kidogo zimesimama... Je hukumu ilishatoka au ndio zile zetu kibongo bongo tuna switch mada..? Kama bado hukumu, vipi mada yake imetekwa na ipi..? Zingatia jamaa alivyowapa watu headlines hususan kwa Wanaume wa Dar....!
  8. Joblee

    Tarehe ya leo Mwaka Jana [October, 25]

    Mda kama huu Mwaka jana ulikuwa wapi? Mimi nakumbuka zile kelele za acha waisome namba ndio zilisitishwa kwa mda!
  9. Joblee

    Hivi Bongo Movies, Directors Huwa wanaelewa kazi yao??

    Jana nikiwa natoka Moshi to Arusha mida ya jioni, Nilikwea basi flani lililokuwa limetokea Dar - Arusha Ile nimekaa nikajikuta nimetupa mijicho yangu yote kwenye ka screen kalichokuwa mbele yangu kwa juu Japo mimi sio mpenzi wa Bongo Movies ila nilikiwa sina budi kuitazama filamu iliyokuwa...
  10. Joblee

    Misafara ya Watawala wetu

    Leo kuna msafara umepita Arusha - Moshi road hata sijauelewa.. Nilizea kuona V8 zikiongozana.. Leo nimeona Rav 4J milango mitatu, Suzuki flani old model, Passo mbili na ka gari kanafanana na vitz... Mbele kulikuwa na gari ya Polisi kingora kikubwa na Pikipiki.. Na nyuma gari Moja ya...
  11. Joblee

    Msaada kwenye tuta hapo

    Elimu Tanzania mwelekeo....
  12. Joblee

    You have not Secured Loan (HELSB 2015/16)

    Tukutane hapa
  13. Joblee

    Mt. Meru University

    Er
Back
Top Bottom