Mimi ni mwakilishi wake.Nimeshaitika mwenyewe haonekani,
Mh sio kweliMimi ni mwakilishi wake.
Kasema nipe namba yako ya simu nimpelekee.
Kasema pia ukimpa tu namba atakutumia 50,000 ya kuomba radhi kwa kukuanzishia uzi.Mh sio kweli
Ngoja bas mie niendlee hapa hapa naona watu wengne wanachezea bahatNimeshaitika mwenyewe haonekani,
Shogaa umemfanya nn mtoa madaaaaaHee vipi tena joblee
Kishakolea huyo,kazi kwako mkuu,x mass bado miezi 2 tuHee vipi tena joblee
Sitoi namba mwambie aje hapa kwanini akutume weweKasema pia ukimpa tu namba atakutumia 50,000 ya kuomba radhi kwa kukuanzishia uzi.
Ili uniamini, nipe namba uone kama hatotuma hiyo pesa.
Jamaa sijui kawajeNgoja bas mie niendlee hapa hapa naona watu wengne wanachezea bahat
Mi mwenyewe nashangaa, ngoja tumsubiri ajeShogaa umemfanya nn mtoa madaaaaa
Mh na wewe tena, mtanifanya nikimbie humu sasa angalia msivunje ndoa zenu humu mi nachangamsha kijiwe tuKapeace ana utam flan hiv..yaan maandiko yake mi dushe hua linasimama,..sasa huyu jamaa naona uzalendo umemshinda
Hakuwa serius kabisa halafu mambo mengne sio ya kuweka utan anakuitaje then anakimbia sasaJamaa sijui kawaje