Search results

  1. P

    Live on Star TV: Makocha wazalendo na soka la Tanzania

    Habari waungwana! Mjadala Mkuu Jumatano ya leo ni: Je, uwekezaji katika soka Tanzania una tija? Rasilimali zinazowekezwa kwa maendeleo ya soka dhidi ya hali halisi ya vilabu vyetu. Karibuni mchangie. Kumbukeni kuwa leo ni siku ya Big Match -- Simba na Yanga. Kwa majadala mwepesi: kati ya...
  2. P

    Tuongee asubuhi live Star TV leo

    Mjadala wa leo: Tunajifunza nini kutokana na yanayojiri katika siasa za Kenya baada ya ICC kuamua kuwa Uhuru Kenyata na wenzake wana kesi ya kujibu. Karibuni
  3. P

    Tuongee Asubuhi Live Ijumaa

    Kombo Re: Tuongee Asubuhi Live Ijumaa Mkuu Mabuga wengine tulibanwa a waajiri, vipi kipindi kimeishaje? Ufafanuzi wa EWURA umewaridhisha wafuatiliaji? Kombo, tuliwaachia wadau zaidi kuamua kutokana na kile kilichoelezwa na kuchangiwa. Pengine ni vema walioangalia kipindi wakatoa hitimisho...
  4. P

    Tuongee Asubuhi Live Ijumaa

    Gharama za Umeme nchini zimepanda tangu tarehe 15 Januari, 2012. Tanesco walitaka kupandisha kwa asilimia 155 kwa hati ya dharula lakini EWURA wamepitisha zaidi ya asilimia 40 kama ongezeko. Je kuna justification ya kupandisha gharama hizi? Je baada ya kupanda --- nini athari kwa mlala hoi ---...
  5. P

    Paul mabuga- Tuongee asubuhi.

    Nachoamini ni kuwa changamoto ni jambo la kawaida kwa binadamu! Kwangu mimi hakuna hoja ya kipuuzi. Lakini pia binadamu kutofautiana katika fikra ni jambo la kawaida, fikra zinajengwa na misingi minigi, baadhi ni pamoja na Imani, utashi na uelewa. Siwezi kuhukumu kipi kinawasukuma baadhi kutoa...
  6. P

    Tuongee asubuhi on star tv friday 04/03/2011

    Waungwana ijumaa wiki hii tutaangalia "Pamba: Ruzuku ya pembejeo imeongezeka, Uzalishaji Unashuka." Mantiki hapa ni kwamba wakati serikali ilikuwa haitoi ruzuku uzalishaji ulipanda na kufikia marobota 700,000 kwa mwaka, lakini wakati ruzuku imeanza kutolewa uzalishaji umeshuka na hata rekodi...
  7. P

    Tuongee Asubuhi Alhamisi Live on Star Tv

    nakushukuru sana Robot! Nazingatia sana ushauri wako na pia nategemea mchango wako! Niliona ni vema niweke maudhui badala ya kichwa cha mada ili waungwana wachangie! :clap2:
  8. P

    Tuongee Asubuhi Alhamisi Live on Star Tv

    Utekelezaji majukumu -- na hasa usimamizi -- kuhakikisha Uwajibikaji, Uwazi na Ukweli kambi ya Upinzani Bungeni unajengwa na mazingira ya wao kufanyia kazi Bungeni-- Kuwepo kwa kanuni zinazoruhusu wapinzani hata kama ni kundi dogo kufanya kazi kwa ufanisi, kuhakikisha kuwa wananchi wa kada...
  9. P

    Deni la Taifa; Kila Mtanzania anadaiwa 332,000/- na litaongezeka kwa 54,000/= 2011

    Yaani kila mtu kulingana na hao watafiti na wachambuzi wa matumzi ya rasilimali za umma
  10. P

    Deni la Taifa; Kila Mtanzania anadaiwa 332,000/- na litaongezeka kwa 54,000/= 2011

    Kesho katika kipindi cha Tuongee Asubuhi Star TV pamoja na Wageni wangu nitajadili uhalali wa Serikali kukopa kwenye Benki za Biashara. Hadi sasa kulingana na ukubwa wa deni la Taifa kila mtanzania ana deni la shilingi 332,000/= na kama bajeti ya 2010/11 itakwenda kama ilivypangwa deni hili...
Back
Top Bottom