Search results

  1. S

    Miracle box

    Habari wana jamvi naomba msaada kwa mwenye miracle box flashing tool for pc anisaidie.niko na mahitaji nayo . Telegram or whatsapp 0753064252 au sam4peny@gmail.com Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    Rooting nokia 3

    Hey naomba msaada jinsi ya ku root nokia 3 yenye android OREO
  3. S

    TCRA, kwa sasa kuna 5G kwanini tuendelee kutoa 2G ambayo huchelewesha na kugharimu pesa nyingi?

    Habari, nadhani ni muda mwafaka wa TCRA kuagiza na kuelekezwa makampuni yatakayo huduma za mawasiliano ya simu pamoja na internet kuhakikisha zinatoa kuanzia 3G kila wanapotoa huduma ili kurahisisha kazi na gharama kuliko kuchagua baadhi ya sehemu kubwa na 3G au 4G na kwengine kukubali na low...
  4. S

    Zanzibar state University

    wakuu habari, naomba msaada kwa aliye na uzoefu au taarifa sahihi za chuo hiki anisaidie. campus life, ubora na unafuu wa msisha nje au ndani ya chuo. nahitaji kumpeleka mtu kule je tution fee na gharama zinginezikoje. tovuti yao haifunguki, pia dedline na qualifications za kudahiliwa...
  5. S

    mwalimu wa michezo

    habari, mwalimu mwenye taaluma ya kufundisha michezo anatafuta kazi , ana uwezo wa kufundisha ktk mtaala wa kitaifa na kimataifa kwa ngazi za chini. anayo diploma ya physical education and mathematics, hivyo awezatumika hata katika somo la michezo, kahitimu chuo cha ualimu kinachotambulika hapa...
  6. S

    Musoma tech

    Habari wakuu, natafuta mawasiliano na mwalimu wa musoma tech, itapendeza akiwa mkuu wa shule au mtaaluma au yeyote yule. Mwenye mawasiliano hayo anitumie kwenye namba 0753064252 au sam4penny@live.com. Ntashukuru sana
  7. S

    Msaada wa e learning

    Habari wanajamvi, poleni na hongereni kwa pilika za hapa na pale. Naomba kujuzwa au kusaidiwa vyuo vinavyotoa cozi za e learning na kutunuku vyeti, viwe vya nje coz vya ndani muda wa udahili umeisha (kwa OUT) ikiwa kuna uwezekano wa kujiunga naomba msaada. Ni kwa ngazi ya shahada na stashahada...
  8. S

    Sony xperia

    habari, jamani nimeletewa Sony xperia M4 ila tatizo ni moja, haina au haisuport Google service hivyo haina playstore, je nifanyeje
  9. S

    Msaada wa chuo ninaweza kusoma shahada ya Education na kompyuta

    Habari wadau, Naomba ushauri wa cozi gani nzuri inayohusisha education na computer science na chuo gani kizuri kinachotoa cozi hizo. Mimi ni mwaiimu lakini nataka kwenda kusoma computer ila kwa mujibu wa mkataba yatakiwa nisome cozi inayoendana na education yaani lazima iwe edu. nahitaji...
  10. S

    Sim card cloning

    Habari, ni matumaini yangu kuwa kila mmoja yu mzima, kwa wenye matatizo ya hapa na pale poleni sana. ninaomba msaada jinsi ya kurudufu "laini " ya simu SIM CARD CLONING! Ni kwa matumizi yangu binafsi kwani nina simu mbili na nahitaji kila mmoja ibaki na namba yake lakini niweze kupata taarifa...
Back
Top Bottom