Habari wakuu, natafuta mawasiliano na mwalimu wa musoma tech, itapendeza akiwa mkuu wa shule au mtaaluma au yeyote yule. Mwenye mawasiliano hayo anitumie kwenye namba 0753064252 au sam4penny@live.com. Ntashukuru sana
Aiseemkuu musoma tech. ambayo nipo karibu nayo au nyingine?