habari, mwalimu mwenye taaluma ya kufundisha michezo anatafuta kazi , ana uwezo wa kufundisha ktk mtaala wa kitaifa na kimataifa kwa ngazi za chini. anayo diploma ya physical education and mathematics, hivyo awezatumika hata katika somo la michezo, kahitimu chuo cha ualimu kinachotambulika hapa tanzania, anao uzoefu wa kufundisha kwa zaidi ya miaka minne.
yuko tayari kufundisha ndani na nje ya nchi , shule au taasisi ya uma na ya serikali, pia anaweza kuandaa programu za micheo na bonanza mbali mbali, pia ni professional gym trainer . kwa mtu aliye serious na atume barua pepe yenye mawasiliano yake kwa sam4peny@gmail.com
asante