Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM wakati wa kampeni zake aliwahi kusema maneno haya baada ya kuulizwa swali na mtanzania mmoja Je Mheshimiwa JK watanzania wakukumbuke kwa lipi katika uongozi wako uliopita na ujao kama utashinda? Jibu la JK lilikuwa kama ifuatavyo "WATANZANIA WANIKUMBUKE KWA...
JF members do you know the reasons behind fast tracking of regional integration across the world; EU, USA, ASIA, AFRICA (EAC, ECOWAS, SADC, COMESA)?
Preparation for a single world government
Single world Currency
Then a number of nasty things will happen to the world; nations loosing their...
The main role of the executive branch of the government is to implement laws and policies made by the legislative branch of the government. Difficult talks for you, you neither respect the laws nor the laws makers: The Great thinking in your mind is how to manipulate the laws and the laws...
Serikali ya CCM inajipanga kuongoza nchi kupitia Bunge
Uteuzi wa Anna wawili na Kamba mmoja ni kutengeneza mazingira ya kuvunja nguvu za bunge na kufanya bunge na serikali kuwa kitu kimoja na kuongea lugha moja. MWISHO WA CHECKS AND BALANCES. Hii ina maana kwamba spika ajae hata ruhusu hoja...
Mfumo wa serikali ya CCM ambao unawakilisha na kulinda maslahi ya matajiri na wafanyabiashara wachache (Rostam, Lowasa, Manji, Baricks, Ortello Business Corporation, Vodacom na wengineo). Hili hawawezi kujitenga nalo na ndio msingi mkubwa wa kifo cha CCM: mfano mzuri kitendo cha kumtetea Chenge...
Tanzanians will go to the polls on 31 October 2010 to elect the President of the United Republic of Tanzania, President of Zanzibar, Members of Parliament and Members of the Zanzibar House of Representatives. This is a roundup of blog posts about the elections.
Tom Rhodes reports that the...
Pamoja na Sera za msomi Dr. Slaa kuwa nzuri na Mkwere Kikwete kuzikubali, atakuwa na ubavu wa kujitenga na mafisadi na kuteuwa baraza dogo la mawaiziri pamoja na speaker wa bunge ambaye si fisadi? Wanajamii mmelisikia hilo kupitia vyombo vya habari vya chama cha majambazi? Na je Kikwete anaweza...
POLITICS IN THE WORLD ARE DIVIDED INTO TWO MAJOR SIDES THE LEFT AND THE RIGHT
CCM-POLITICAL RIGHT-WHAT IS IN THE POLITICAL RIGHT OF THIS PARTY
AUTHORITY-CCM assumed that they have the right to influence the behavior of Tanzanians by forcefully making them acknowledge and obey that they are...
THE FOLLOWING ARE SOME OF THE REASONS I BELIEVE JUSTIFY THE DISMANTLING OF NEC TO PAVE WAY FOR AN INDEPENDENT ELECTION COMMISSION MEAN WHILE A PEOPLES INTERIM ELECTION COMMISSION BE APPOINTED THROUGH THE ACT OF THE PARLIAMENT WITHOUT GOVERNMENT INFLUENCE
DUE TO IGNORANCE AND LACK OF...
Ni ajabu, aibu, na kukosa uelewa kwa mtu anayesadikika kuwa na digrii ya uchumi (UDSM) (ambayo si amini kama aliwahi kupata) Kukubali kupewa urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania huku akijua ameshindwa katika uchaguzi. Leo hii Tume yake ya Uchaguzi imemtangaza kuwa raisi lakini akiwa HANA...
Uchaguzi huu wa mwaka 2010, uwe mwanzao wa watanzania kukataa nchi yao kugeuzwa kuwa ufalme kwa misingi ya kwamba wachache (Kikwete, Lowasa, Chenge, Mramba, Karamagi, Rostam) na wengine wasiozidi mia pamoja na watoto wao ndio wanaoweza kuingoza hii nchi. Watanzania ni vyema kutolinyamazia hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.