Kuanzishwa Kwa Ufalme wa Kitanzania na Wanasiasa wa CCM Hatukubali


L

Lalashe

Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
84
Likes
0
Points
0
L

Lalashe

Member
Joined Nov 4, 2010
84 0 0
Uchaguzi huu wa mwaka 2010, uwe mwanzao wa watanzania kukataa nchi yao kugeuzwa kuwa ufalme kwa misingi ya kwamba wachache (Kikwete, Lowasa, Chenge, Mramba, Karamagi, Rostam) na wengine wasiozidi mia pamoja na watoto wao ndio wanaoweza kuingoza hii nchi. Watanzania ni vyema kutolinyamazia hili hususani wakati huu ambao tulihitaji mabadiliko kuliko wakati mwingine katika historia ya taifa letu tukufu. Ufalme nilioutaja hapo juu upo kwa maslahi ya nani? unamwakilisha nani? Uchaguzi huu utumiwe na watanzania kukataa kuwa watumwa eti kwa sababu wachache wamejibatiza kuwa wafalme bila ridhaa yetu.
 

Forum statistics

Threads 1,239,189
Members 476,441
Posts 29,345,038