Kikwete rais mteule asiye na watu wa kuwaongoza ni mwanzo wa misiba na taabu

Joined
Nov 4, 2010
Messages
84
Likes
0
Points
0

Lalashe

Member
Joined Nov 4, 2010
84 0 0
Ni ajabu, aibu, na kukosa uelewa kwa mtu anayesadikika kuwa na digrii ya uchumi (UDSM) (ambayo si amini kama aliwahi kupata) Kukubali kupewa urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania huku akijua ameshindwa katika uchaguzi. Leo hii Tume yake ya Uchaguzi imemtangaza kuwa raisi lakini akiwa HANA WATU WA KUWAONGOZA. Katika mjii huu wa Arusha kumepoa na watu wanaendelea na kazi zao kama vile kuna msiba uliotokea. Sijui kesho Tanzania itaamkaje na msiba huu laiti kama tungeanza kulia. Ushindi huu wa CCM ikulu ndio mwanzo wa misiba mingi kwa miaka mitano ijayo-Bora Arusha wameanza kujizoesha. LAKINI KAMA HATUTAKI MISIBA NA TAABU TUFANYE JAMBO WATANZANIA HATA KAMA NI GUMU
 
Tuzo

Member
Joined
May 26, 2009
Messages
24
Likes
0
Points
0

Tuzo

Member
Joined May 26, 2009
24 0 0
Amechaguliwa na 27% ya watanzania waliokata tamaa ya maisha. Wengine waliokata tamaa zaidi hawakupiga kura kabisa
 
Henge

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Messages
6,847
Likes
140
Points
160

Henge

JF-Expert Member
Joined May 14, 2009
6,847 140 160
nasikia alianguka tena zanzibar majuzi kwenye kuapishwa shein....maximum kuanguka ni mara 100 na yeye tayari ameanguka mara 96 nadhani...bado 4 tunarudia uchaguzi
mkuu tumwombeee tuu jk any ndo kiongozi wetu! Tumsaidie kuongoza vyema nchi sasa!
 
Joined
Nov 4, 2010
Messages
84
Likes
0
Points
0

Lalashe

Member
Joined Nov 4, 2010
84 0 0
Naomba huyo anayesimamia kuanguka kwake aje kwa speed ya haraka na kumalizia hizo nne (4) zilizobaki ili tupunguze asira zetu mimi nipo willing kutoa mishahara yangu midogo miwili kwa yule atakayeharakisha hiyo process ya kumalizia
 
Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Messages
5,463
Likes
81
Points
145

Lukansola

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2010
5,463 81 145
Nani kasema wazungu hawata msikiliza Dr. Slaa kwa sababu, wamemkubali JK kwa nini usidhani kwamba sasa wazungu watajipendekeza kwa Dr. Slaa. isitoshe Slaa hakutaka kuwa rais wa wazungu?
 
Joined
Nov 4, 2010
Messages
84
Likes
0
Points
0

Lalashe

Member
Joined Nov 4, 2010
84 0 0
Gharama utalipa zaidi ya ile ya uchaguzi kumbuka fedha nyingi zilichapishwa na kuingizwa kwenye mzunguko (economics principles too much money in circulation=inflation) kuna kitu kingine wanaita inflation tax itakukula namna gani whether yupo au hayupo itakula kwako lakini zaidi akiwepo kwa sababu unalipia kupitia inflation na kumsaidi kutengeneza nssf yake ambayo si official through ufisadi. Hujapiga mahesabu nini?
 
GeniusBrain

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
4,321
Likes
19
Points
135

GeniusBrain

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
4,321 19 135
Ni ajabu, aibu, na kukosa uelewa kwa mtu anayesadikika kuwa na digrii ya uchumi (UDSM) (ambayo si amini kama aliwahi kupata) Kukubali kupewa urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania huku akijua ameshindwa katika uchaguzi. Leo hii Tume yake ya Uchaguzi imemtangaza kuwa raisi lakini akiwa HANA WATU WA KUWAONGOZA. Katika mjii huu wa Arusha kumepoa na watu wanaendelea na kazi zao kama vile kuna msiba uliotokea. Sijui kesho Tanzania itaamkaje na msiba huu laiti kama tungeanza kulia. Ushindi huu wa CCM ikulu ndio mwanzo wa misiba mingi kwa miaka mitano ijayo-Bora Arusha wameanza kujizoesha. LAKINI KAMA HATUTAKI MISIBA NA TAABU TUFANYE JAMBO WATANZANIA HATA KAMA NI GUMU

Ni ajabu ( SLAA AMEBWAGWA ), aibu (KWA SLAA) , na kukosa uelewa kwa mtu anayesadikika kuwa na digrii ya uchumi ( WEWE UNA YA NINI?) (UDSM) ambayo si amini kama aliwahi kupata ( NENDA UDSM KAULIZE) Kukubali kupewa (AMESHINDA KWA KURA ) urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania huku akijua ameshindwa (LETA USHAHIDI) katika uchaguzi (ULIKUWA HURU NA WA HAKI ) . Leo hii Tume yake ya Uchaguzi imemtangaza kuwa raisi (ALIYESHINDA ) lakini akiwa HANA WATU WA KUWAONGOZA (WATANZANIA TUPO 40M SIO WATU ?) . Katika mjii huu wa Arusha kumepoa (WALIKUWA MAJUMBANI ) na watu wanaendelea na kazi zao (VIZURI SANA ) kama vile kuna msiba (MAZISHI YA CHADEMA LINI ?) uliotokea. Sijui kesho (NI JUMAMOSI MKUU WA NCHI ANAAPISHWA) Tanzania itaamkaje (LALA KWANZA ) na msiba huu (WA CHADEMA KUSHINDWA URAIS ) laiti kama tungeanza kulia (MBONA SIONI MACHOZI?) . Ushindi huu wa CCM ikulu (WA HURU NA HAKI ) ndio mwanzo wa misiba mingi (KWAKO TU SIO KWANGU ) kwa miaka mitano (YA MAISHA BORA ) ijayo-Bora Arusha wameanza kujizoesha. LAKINI KAMA HATUTAKI MISIBA NA TAABU TUFANYE JAMBO WATANZANIA HATA KAMA NI GUMU (ANZIA NYUMBANI KWAKO)
 
Joined
Feb 10, 2010
Messages
47
Likes
0
Points
0

werema01

Member
Joined Feb 10, 2010
47 0 0
Ukweli ni ukweli kaka, raisi anatangazwa nchi imepooza kama mgonjwa wa polio?

Tafakari, wangapi wangekuwa barabarani kushangilia angetangazwa mtu wanayempenda?

Sauti ya watu ni sauti ya mungu
 
Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
23,211
Likes
6,970
Points
280

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
23,211 6,970 280
Ni ajabu ( SLAA AMEBWAGWA ), aibu (KWA SLAA) , na kukosa uelewa kwa mtu anayesadikika kuwa na digrii ya uchumi ( WEWE UNA YA NINI?) (UDSM) ambayo si amini kama aliwahi kupata ( NENDA UDSM KAULIZE) Kukubali kupewa (AMESHINDA KWA KURA ) urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania huku akijua ameshindwa (LETA USHAHIDI) katika uchaguzi (ULIKUWA HURU NA WA HAKI ) . Leo hii Tume yake ya Uchaguzi imemtangaza kuwa raisi (ALIYESHINDA ) lakini akiwa HANA WATU WA KUWAONGOZA (WATANZANIA TUPO 40M SIO WATU ?) . Katika mjii huu wa Arusha kumepoa (WALIKUWA MAJUMBANI ) na watu wanaendelea na kazi zao (VIZURI SANA ) kama vile kuna msiba (MAZISHI YA CHADEMA LINI ?) uliotokea. Sijui kesho (NI JUMAMOSI MKUU WA NCHI ANAAPISHWA) Tanzania itaamkaje (LALA KWANZA ) na msiba huu (WA CHADEMA KUSHINDWA URAIS ) laiti kama tungeanza kulia (MBONA SIONI MACHOZI?) . Ushindi huu wa CCM ikulu (WA HURU NA HAKI ) ndio mwanzo wa misiba mingi (KWAKO TU SIO KWANGU ) kwa miaka mitano (YA MAISHA BORA ) ijayo-Bora Arusha wameanza kujizoesha. LAKINI KAMA HATUTAKI MISIBA NA TAABU TUFANYE JAMBO WATANZANIA HATA KAMA NI GUMU (ANZIA NYUMBANI KWAKO)
Nakupa zawadi hii kwa ujuha wako

wish_you_were_here_girl.jpg
 
Forum statistics

Threads 1,203,578
Members 456,842
Posts 28,120,287