Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM wakati wa kampeni zake aliwahi kusema maneno haya baada ya kuulizwa swali na mtanzania mmoja Je Mheshimiwa JK watanzania wakukumbuke kwa lipi katika uongozi wako uliopita na ujao kama utashinda? Jibu la JK lilikuwa kama ifuatavyo "WATANZANIA WANIKUMBUKE KWA KUANGALIA NILIWAKUTA HAPA NA NIMEWAFIKISHA PALE" HIVI MHESHIMIWA JK ALIELEWA SWALI? KAMA ALIELEWA SWALI LA MTANZANIA HUYU WAKATI AKIWAZUNGUMZA NAO KUPITIA RUNINGA, ALIOYASEMA TUTAWEZA KUYAPIMA BAADA YA MIAKA KUMI YA UONGOZI WAKE?