Search results

  1. mapango

    Zanzibar inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya MASHOGA wenye Ukimwi

    Inawezekana huu utafiti aliufanyia ofisini, kwani ninavyoelewa mimi Zanzibar hakuna shule za bweni, kama zipo basi ni mpya na chache (kuanzia 2005) ambazo haziaanza kutoa mashoga kama anavyodai moja ya sababu. Hatukatai kama hakuna mashoga, mashoga wapo kila pahala, hata anakotoka yeye Dr...
  2. mapango

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Nakubaliana na wewe, Nyerere ameongoza wajinga na akaendelea kututia ujinga, kwani alihakikisha wa-Tz hawajui chochote kinachoendelea duniani, hebu angalia nchi gani duniani inapata uhuru baada ya miaka zaidi 30 haina TV yake ya taifa!, hata kinchi kidogo kama Zanzibar kimekuwa na TZ tangu 1972...
  3. mapango

    Mpiganaji Mazee Rajab wa Cuf hatunae tena

    Innalillaahi wainna ilaihi rajiuun. RIP muheshimiwa Rajab
  4. mapango

    Kwa wasiomjua Magufuli, Je, anafaa kuwa Rais?

    Una hakika kuwa haya hayakuzungumzwa? au aliyezungumza wakati huo hukumpenda? au chombo alichotumia kutoa habari hukukiamini? haya yapo tena mengi, na hao munaowaona watukufu hizi ndio kazi zao.
  5. mapango

    Mzazi afarikia zahanati, azuiliwa kwenda Amana

    Usimlaumu muuguzi, ni hali ya kutoaminiana tuliyoijenga wenyewe watanzania, muuguzi hayuko tayari kukatwa mshahara wake...
  6. mapango

    Hamad awafanya watanganyika wawachukie wazanzibari

    ...is unfortunate comments, Zanzibar had not, is not and will not be a territory of Tanganyika.
  7. mapango

    Wiki nzima bila kutongozwa

    Ah! upuuzi mtupu...
  8. mapango

    Wife and Girlfriend

    Try creativity...
  9. mapango

    Waislam na Wakristu tugawane Tanzania!

    Hizo takwimu za waislam na wakristo umezitowa wapi? sensa ya Tanzania kwa miongo kadhaa ilishaondoa kipengele cha dini. Ni uongo mtupu!, labda rejea sensa ya mwisho ambayo iliangalia na dini za watanzania, halafu fanya forecast, usisahau kuwa waislam wanaoa wake zaidi ya mmoja na kuzaa watoto...
  10. mapango

    Jini hili jini gani?

    Hapa ndugu yangu unakuwa kilaza sasa. Pole sana siwezi kukusaidia.
  11. mapango

    Jini hili jini gani?

    Mbona mekaa kimya, au jini mwamogopa? hata kama hana haya, vidonge vyake tampa mie sioni vibaya, kwa mola wangu naapa dawa ya baya ubaya, si museme hapa hapa!
  12. mapango

    Jini hili jini gani?

    kama hili hulioni, macho yako yana kutu meliona mie jini, langamiza wetu watu zaidi ya subiani, kiziwi kupewa tutu jini hili jini gani, chano chake damu zetu?
  13. mapango

    The chickens have come home to roost

    Mwaka 2001 baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2000, chama cha CUF kilifanya maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu kule Zanzibar, kwa bahati mbaya jeshi la polisi kupitia amri za wakuu wao BWM/OAL na OM wakafanya mauaji ya watu wasiopongua 23 (kwa taarifa za serikali) na 60 (kwa taarifa...
  14. mapango

    Somalia Marufuku mwanamme na mwamke kupeana mikono-Kadhi court

    Kwa imani gani hayuko uchi? acha upofu ndugu yangu, dini zote zinakataza mavazi yanayomdhalilisha mwanamke!
  15. mapango

    Kwanini wanaume mnapenda kucheza nusu uwanja?

    wengine robo uwanja tu, penaltiiiiiiiiiies!
  16. mapango

    Waziri Selina Kombani (Katiba na Sheria) na Hatima ya Katiba Mpya

    Hiyo ndio silaha yake ya mwisho katika dai la katiba...
  17. mapango

    Ivory Coast; the time for AU to show its strength

    Until the most peaceful and democratic country Tanzania wish to handover power to oppositions...
  18. mapango

    Nimemwachia Kunguru, wenye mitego naseni...

    kunguru ana wenyewe, humuwezi asilani atakutia kiwewe, kuzidi umasikini ulimtega mwenyewe, sielewi ni kwanini una matatizo wewe, kutojuwa vya thamani? limtegea mizoga, hilo pia ni tatizo nyamu tamu ametega, jamaa kaja anazo wajua kunguru mwoga, ila bingwa wa mizozo amevunja lako bega...
Back
Top Bottom