Search results

  1. contagious

    Masters degree Open University

    Wanajukwaa habari za Leo, ninaomba msaada wa mawazo, faida na hasara, ya kusoma Master degree Open University, nataka kusoma degree ya Biolojia, kwakuwa watoto bado wadogo, pia nataka kuwekeza kiuchumi kwenda shule full time inazuia baadhi ya haya mambo kwenda smoothly. Naombeni mchango wenu wa...
  2. contagious

    Msaada: Nimegundua baba mkwe ni mchawi

    Unawezaje kuishi na mume pale unapogundua kumbe baba yake mzazi ni mchawi anayedhuru watu hakika, nawe ulifichwa kila kitu. Naomba msaada kwa hili
  3. contagious

    Turmeric Coconut Basmat Rice

    Mbadala bomba kabisa wa Pilau, Chakula kitamu cha kuridhisha familia nzima, karibuni sana.
  4. contagious

    Kilimo cha mapapai na ufugaji wa samaki

    Naomba msaada kwenye hizi sekta mbili, ninataka kuendeleza mradi wa ufugaji wa samaki, nahitaji mafunzo yatakayonisaidia kuendeleza huu ufugaji, pia nataka kuanza shamba la mipapai, naombeni uzoefu kwa anayefahamu. Shukrani sana
  5. contagious

    Saturday Morning Breakfast

    Karibu Chai sasa, Yeah it's late but it's weekend for Heaven Sake. Recipe from Fauzia Kitchen Fun for Mandazi in Google, nimetumia vikombe sita vya ngano, kijiko kimoja na nusu cha hamira, kijiko kimoja cha iliki, robo kikombe cha sukari, pakti 4 za nazi, nimeongeza maji kidogo sana...
  6. contagious

    Nani amewahi kutengeneza Cocktail ya asali na kilevi?

    Jamani jana nilitengeneza cocktail ya Konyagi, Asali na Sprite sasa tatizo sikuenjoy sana kichwa kikaanza kuuma, Je kuna yeyote ambaye amewahi kutengeneza Cocktail ya asali na Kilevi? Sio mahali pake lakini sioni wapi hapa JF kwenye utalaumu huo! So please help me [emoji7]
  7. contagious

    Marafiki, mie nilipata mwenza hapa

    Jamani, mie nilipata mwenza hapa, nikawa nafurahia mazungumzo baada ya habari, tatizo lilikuja pale nilipokuwa mkweli kwake kwamba kwa hakika hawezi kunila kwasababu nilijua kila nililokuwa nikilisema Kwake halikuwa na ukweli, mie ilikuwa fab time to chill after stress za siku nzima, lakini pia...
  8. contagious

    Jinsi ya Kutumia What's up kwenye Laptop

    Naombeni msaada Jinsi ambavyo naweza Kutumia whatsup kwenye laptop.
  9. contagious

    Series ya Unguarded

    Kuna series inaitwa Unguarded hapa African Movie Series, kwakweli inafundisha sana. Kwa wale wanaoweza kutazama ni vyema tukatazama tujifunzage kwakweli. Usiku mwema na Njozi njema kwenu mnaota muda huu.
  10. contagious

    Ndoa ngumu, inafika wakati tukubali talaka

    Jamani nakubaliana na swala la uvumilivu kwenye ndoa, lakini nadhani imefika wakati tuzikubali divorce pia kama kitu cha msingi na muhimu ndoa zikiwa hazina mwelekeo, uvumilivu wakati mmoja wenu anaumia haina msingi.
Back
Top Bottom