contagious
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 528
- 344
Jamani nakubaliana na swala la uvumilivu kwenye ndoa, lakini nadhani imefika wakati tuzikubali divorce pia kama kitu cha msingi na muhimu ndoa zikiwa hazina mwelekeo, uvumilivu wakati mmoja wenu anaumia haina msingi.