contagious
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 528
- 344
Wanajukwaa habari za Leo, ninaomba msaada wa mawazo, faida na hasara, ya kusoma Master degree Open University, nataka kusoma degree ya Biolojia, kwakuwa watoto bado wadogo, pia nataka kuwekeza kiuchumi kwenda shule full time inazuia baadhi ya haya mambo kwenda smoothly. Naombeni mchango wenu wa mawazo pia wapi niende kukamilisha hatua zote nikitaka kujiunga mwaka huu.