Search results

  1. AMADOGO

    Mchungaji 'Mfalme Zumaridi' adai kuwasiliana na Kanumba, Mama yake azungumza

    Mkuu una mama au mtoto wa kike. Pole sana
  2. AMADOGO

    Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

    hahahaha serious, hawakuwa nayo hata mfukoni wakachungulia? Tatizo wanakuja wamejiandaa na miswali migumu halafu nyie mnawavuruga kwa kuwapa mepesi. hope hakukuwa namchaga kwenye hiyo interview.
  3. AMADOGO

    Mtu anayejenga gorofa bila kusimamisha nguzo za zege (columns), ni imara kweli?

    Asante sana mkuu. Shida ni sehemu gani ya kupata hizo tofali kwa DAR? Fundi niliyemtumia ni mzoefu sana ana age almost 70 na mjenzi toka ujana wake. Nilishangaa kukuta msingi hauna hizo colums siku nafika site namwuliza anasema hakuona haja ya kuweka kwa sababu udongo ni mzuri sana hivyo...
  4. AMADOGO

    Wale tunaoanza Ujenzi 2022, Tupeane Start up Dondoo

    Mkuu tafuta fundi mwingine pia akupe hesabu pia. Mimi mwenyewe nilikuwa najenga maeneo hayo ya mbweni mpiji, fundi alinipa hesabu ya mifuko 405 ya cement nikawaza sana kama wewe. maana hakukuwa na uhalisia wowote. Nikapewa fundi mmoja hivi ni babu mtu mzima hiv akanipigia hasabu ya mifuko 245...
  5. AMADOGO

    Mtu anayejenga gorofa bila kusimamisha nguzo za zege (columns), ni imara kweli?

    1. Ni Engineer mwenye mhuru na amesajiliwa na board 2. Gorofa moja tu mkuu 3. Yes ameprovide structural drawings 4. hatujafanya soil analysis Asante mkuu for your concern.
  6. AMADOGO

    Mtu anayejenga gorofa bila kusimamisha nguzo za zege (columns), ni imara kweli?

    Samahanini wadau naomba kujua hivi kujenga gorofa bila kusimamisha nguzo za zege zile. Uimara wake ukoje? Engineer anadai kwa aina ya udongo ukiwa na matofali imara yakajengwa kwa kulaza inatosha. Ni kweli inaweza kuwa imara? Eneo ni tambarare. Naombeni mawazo yenu
  7. AMADOGO

    Mwana mpotevu nimerejea

    Baada ya kupotea JF kwa miaka sita (6) nimerejea tena. Naomba mnipokee.
  8. AMADOGO

    Msaada: Napigwa na mke wangu

    hahahahahaaaaaa kazi kweli kweli
  9. AMADOGO

    Naomba kuuliza wadada mliozaa tu

    Wanawake huwa tuna mda wa kutosha kulea watoto, hata ukiaga ofisini mtoto ana shida ni rahisi kupewa ruhusa ,ukilingnisha na mwanaume, tupo more responsible zaidi. Kama mwanaume anajali kwa sapot ya hela. wewe tena unataka ageuke kibegi hiyo ni shida!!!!
  10. AMADOGO

    Wanawake wenzangu, je ulivyo ndivyo upendavyo?

    hahahahaa mwili hauna shukrani ,poleeeh
  11. AMADOGO

    Hii ndiyo maana ya matatizo

    hahahahaaa utaomba ardhi ipasuke....
  12. AMADOGO

    Ushauri: Tabia ya mke wangu kunidharau inaniumiza sana

    Pole mkuu wapo wazuri tuu mbona. nimechekajee???
  13. AMADOGO

    Healing camp at Emmaus Centre -Ubungo

    Asante sana kwa taarifa mtumishi. ubarikiwe
Back
Top Bottom