Search results

  1. Africa Tanzania

    Kilimo cha Uyoga na soko lake

    Habari wakuu.... Natamani nianze rasmi kilimo hiki, naomba ushauri kuhusu masoko na bei zake huwa zikoje huko masokoni..... Niko Morogoro mjini. Karibuni.
  2. Africa Tanzania

    Hapo zamani za Kale kulitokea....

    ... mwanamke mmoja mrembo kuliko wote Duniani. Mwanamke huyo aliwatesa sana wanaume kwa kupendelea sana........ (Endeleza stori hiyo, kila mtu aendeleze atakapoishia mwenzake) [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
  3. Africa Tanzania

    Peter Drury and Jim Beglin

    Once Said.... [emoji116][emoji116][emoji116]
  4. Africa Tanzania

    Hizi Fedhea nimezichoka!

    Natoka zangu Moro naenda Dodoma na vitz yangu ila napitwa na kila gari[emoji26][emoji26].... Ikija rav4 inapita, ikija Ist inapita, likija basi linapita ukishindana nayo unaishia kujichosha tu [emoji22]. Kila root najiona mimi wa mwisho tu[emoji134] Nakiuza hiki kigari nije huko huko...
  5. Africa Tanzania

    Naomba ufafanuzi katika hili gari aina ya Toyota Vitz old model Piston 4

    Wakuu Nimebahatika kupata gari hiyo Vitz old model miezi michache iliyopita, nimeona nije niulize maswali kuhusu hiyo gari mabosi mnaaita "babywoka" 1. Naweza kusafiri nayo from Dar - Mbeya non stop? 2. Vitu gani kiufundi niviepuke kwenye matumizi ya gari hii!? NB: Engine CC 990, Piston 4...
  6. Africa Tanzania

    Nahitaji gari haraka sana

    Habari wakuu! Nina Mil 4, nahitaji Gari ya kutembelea siyo ya mizigo. [emoji1314]Gari iwe na Cc kuanzia 990 hii iwe kuanzia namba C. [emoji1314]Gari kuanzia Cc 1200 siangalii namba sana ila iwe nzuri. [emoji1314]Iwe Ac inafanyakazi [emoji1314]Iwe full document [emoji1314]Isiwe na madeni Nipo...
  7. Africa Tanzania

    Gari ipi pasua kichwa kati ya hizi?

    Kati ya:- Brevis Verossa Gx 110 Xtrail Kwenye Mafuta, Vipuli na matengenezo. Kwasisi tunaohitaji kununua kwa mtu, (mkononi)
  8. Africa Tanzania

    Gari ipi used itanifaa kwa kipato cha 700k kwa mwezi?

    Habari wakuu! Kwa kipato hicho tajwa hapo juu, ni gari aina gani itanifaa na nitaweza kuimudu kwa pesa niipatayo cash kwa mwezi? ~Passo siitaki ~Gx100 siitaki. ~porte siitaki ~stalet siitaki ~duet siitaki NB: MATUMIZI YANAWEZA KUWA KM20< kwa siku Karibuni kwa mawazo...
  9. Africa Tanzania

    Naomba kujua tiba sahihi kwa mtoto aliezaliwa bila kulia

    Habari za muda huu madaktari, Napenda kupokea ushauri wa kitabibu kutoka kwenu maana kuna mtoto wa Dada yangu alipitia yafuatayo wakati wa kuzaliwa:- 1.UJAUZITO zile tarehe za makadirio zilivuka, mtoto alizaliwa baada ya wiki mbili mbele zaidi. (zaidi ya wiki halali) 2.KUTOKULIA alipozaliwa...
  10. Africa Tanzania

    Mbinu ipi unaitumia kuweka akiba ya fedha?

    Habari za jioni wakuu! Mie kila nikitunza pesa ili nije ninunue kitu fulani ile pesa naishia kuitafuna kabla ya lengo husika, hata Matatizo au shida huwa zinazidi mpka inanipelekea kuzitumia pesa hizo! Wewe unasave vipi pesa bila kuzitamani kuzitumia? Nilipanga mwaka huu niwe hata na...
  11. Africa Tanzania

    Serikali pigeni marufuku pombe nchini

    Kwakuwa nchi yetu bado changa kiuchumi ni bora Serikali ingepiga marufuku uuzwaji wa pombe nchini ili watu wafanye kazi. Watu wengi wanashindwa kumudu majukumu mbalimbali kutokana na unywaji wa pombe, hivyo hupelekea kutokufika malengo yaliyokusudiwa. Hivyo ushauri wangu kwa Serikali ipige...
  12. Africa Tanzania

    Mke aliyeachika ameanza kuniwinda

    Kahofu tu kapo mkuu! How comes if mshkaji akikuta chat threads [emoji19][emoji19]
  13. Africa Tanzania

    Upepo vs Ndege

    Hizi ndege mfano Bombardier na wenzake zinawezaje kukabiliana na upepo mkali zikiwa angani? Let's say kimbunga. Na kuna mtu alisema ndege ndogo huwa zina mitikisiko sana, shida huwa ni nini huko angani? Kuuliza si ujinga! Karibuni wajuzi.
  14. Africa Tanzania

    Nataka kutoka na mdada wa kizungu!

    Nipeni somo wazoefu mliowahi kutoka na wazungu (wadada kutoka mataifa ya ulaya) Nawaonaga tu mitaani, nianzie wapi? [emoji848]
  15. Africa Tanzania

    Naomba kueleweshwa kuhusu Maji

    Mpka sasa huwa sielewi kwanini kuna maji chumvi na maji baridi! Naomba kufahamishwa kwanini kuwe na maji chumvi na maji baridi wakati yote yanatoka ardhini, Kwanini isingekuwa maji chumvi pekee kwani bahari ndio imechukua % kubwa Duniani? Na ukizingatia maji yanasafiri kutoka sehem moja hadi...
  16. Africa Tanzania

    Facebook siioni playstore!

    Hivi ni kwangu tu au hata kwako? Nimeingia playstore nikiwa na lengo la ku-update Facebook chakushangaza ipo Facebook lite tu! Nitaupdate vp app yangu wakuu?
  17. Africa Tanzania

    Wanawake njooni mnijuze!

    Nini maana ya maneno haya!? 1.Mchambo 2.Danga 3.Pambe 4.Nung'aembe ([emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]) 5.Shosti 6.Jojo 7.kishundu 8. 9. 10.
  18. Africa Tanzania

    Hivi mwanamke anaweza kumuacha mtu anae

    Mgegeda vizuri hata kama akiolewa? Nina ushuhuda kwa wadada kama wanne hivi walio olewa wanaendelea kutafunwa na washkaji zangu, tena wao ndio wanahuo uhitaji......naona imekuwa desturi sasa! Ambao mnaoa mabikra mnaweza kuwa salama zaidi, ila wenzangu na mimi unakunywa soda ilishafunguliwa...
  19. Africa Tanzania

    Hili wazo limekaaje?

    Mimi nasimamia biashara zangu nyingi tu, zenye faida japo sio kwa 100% Wazo langu ni Mteja anakuja kwangu, anaweka pesa yake mfano 100,000/= Halafu kila mwezi atakuwa anapata commission ya 15% kutoka kwangu! Hii itafanyika kimkataba na kisheria zaidi.... Na mteja huyo atakuwa na uwezo wa...
  20. Africa Tanzania

    Baraka Mpenja, hata mechi ikiwa mbaya huwa anaifanya inakuwa nzuri!

    Huyu Mtu hata mechi ikiwa mbaya, huwa anaifanya inakuwa nzuri! Yaani kuna kipaji na Elimu, sasa huyu vyote anatumia.... Aliemuajiri AZAM kongole kwake! ........ Hili ni goli la Simba vs Nkana la kusawazisha mfungaji akiwa Jonas Mkude (in mpenja voice [emoji1787][emoji1787][emoji1787])...
Back
Top Bottom