Nahitaji gari haraka sana

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
1,504
2,261
Habari wakuu!

Nina Mil 4, nahitaji Gari ya kutembelea siyo ya mizigo.
Gari iwe na Cc kuanzia 990 hii iwe kuanzia namba C.
Gari kuanzia Cc 1200 siangalii namba sana ila iwe nzuri.
Iwe Ac inafanyakazi
Iwe full document
Isiwe na madeni

Nipo Moro town, unaweza kuja Pm na maelezo au kuweka hapa gari yako.
Mnunuaji ni mimi mwenyewe kwa matumizi yangu.

Pesa ipo active. Karibuni
 
Habari wakuu! Nina Mil 4, nahitaji Gari ya kutembelea siyo ya mizigo.
Gari iwe na Cc kuanzia 990 hii iwe kuanzia namba C.
Gari kuanzia Cc 1200 siangalii namba sana ila iwe nzuri.
Iwe Ac inafanyakazi
Iwe full document
Isiwe na madeni
Nipo Moro town, unaweza kuja Pm na maelezo au kuweka hapa gari yako.
Mnunuaji ni mimi mwenyewe kwa matumizi yangu,
Pesa ipo mfuko wa shati.
Karibuni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom