Search results

  1. Nasema

    Viongozi wanavyopenda kupendelewa, kuabudiwa, kutumia njia za panya nk.

    Wanabodi habari zenu! Kuna tukio nililishuhudia jana Taasisi ya Mifupa Muhimbili maarufu kama MOI, napenda niwashirikishe tujadili hizi tabia zinazokera za viongozi wetu, hasa wa kisiasa. Wagonjwa tulifika kuonana na daktari mmoja wa mifupa ambaye alikuwa na clinic hiyo jana. Tulikuwa wengi...
  2. Nasema

    Hatari: Mke amfumania mumewe akilawitiwa!

    Wana MMU habari zenu? Nianze kwa kuwatakia heri na fanaka katika mwaka mpya wa 2013. Hili ninaloliandika limemtokea jirani yangu, ambaye pia tuna mahusiano ya kiofisi zaidi - niliwafanyia kazi fulani ofisini kwao hivyo tukajenga mawasiliano ya kikazi, na kwa vile ni majirani basi kukawa na...
  3. Nasema

    Mipango ya mapumziko ya mwisho wa mwaka

    Habari wana MMU? Naam, mwisho wa mwaka ndio huo na festival season yakaribia. Huwa napenda kusafiri kipindi hiki, ila kwa sasa naona nimeishiwa plans. Naomba kwa uzoefu wenu mnipe ushauri wa maeneo ambayo mnaona yanavutia na yatatufaa mimi na laaziz wangu twende kupumzika. Iwe ni ndani...
  4. Nasema

    Kuoga kwazua balaa!

    Kuna jamaa ana ugomvi na girl wake. Kanisimulia nimecheka mno ndipo nikamshauri. Ni hivi: Huyo girl alienda home kwa boy akalala huko, wakado. Asubuhi wakawa wamepanga kwenda town kununua vitu fulani. Dada akaamka akaoga akajiandaa tayari kwa kutoka. Yule kaka yeye si akakataa kuoga, eti...
  5. Nasema

    Ushauri wako: Ungetumia namna gani kumwambia mpenzi wako kuwa umegundulika una HIV?

    Wadau wa MMU naomba ushauri wenu.Kuna dada ana miaka 23, ana mpenzi ambaye alianza naye uhusiano miezi minne iliyopita. Kabla ya hapo alikuwa na uhusiano na mvulana mwingine ambao ulivunjika, akakaa mwaka mmoja na nusu ndipo akaanza uhusiano na huyu mpenzi wa sasa.Hivi karibuni alienda kupima...
  6. Nasema

    Ni mazoezi gani yanapunguza mwili na uzito haraka zaidi?

    Habari wana MMU!Naomba ushauri wenu.Nimenenepa sana (tumbo, mikono, miguu, mgongo), pia nilikuwa sijashiriki tendo kwa miezi kadhaa, nilikuwa safarini. Sasa nimerudi, kwa kweli nimekuwa mzito sana kitandani. Nachoka haraka mno, miguu siwezi kuipanua vizuri, siwezi kujikunja wala kujizungusha...
  7. Nasema

    Vidonge au gel za kutekenya na kumtia ashki mwanamke?

    Wana MMU, Salaam! Nimewahi kusikia kwamba kuna dawa za aina hii ambazo baadhi ya wanaume pia huzitumia pale wanapozungushwa sana na kunyimwa kupewa mambo na wanawake, hivyo huwawekea dawa, then wanawake huanza kuwashwa na kudai wenyewe d... kutoka kwa mwanaume. Je ni dawa gani hizo(kwa...
  8. Nasema

    Kufanya mapenzi kwenye gari, sehemu za wazi kama barabarani, etc ni kwanini, nini raha yake?

    Wadau wa MMU habari zenu!Leo naomba maoni yenu juu ya hili, ninalifikiria sana na sipati jibu!Hivi una mpenzi wako wa kiume, wote mna sehemu mnazoishi (yaani kila mmoja amepanga kwake) hivyo mngeweza kwenda nyumbani mkadunguana vema tu, mnaaminiana. Sasa mmetoka mkaenda sehemu kupata dinner na...
  9. Nasema

    Nimwambieje?

    Habari zenu wadau wa MMU?Nilikuwa na boyfriend kwa miaka mitatu, tukaachana ktk hali ambayo iliniumiza sana moyo wangu, nikawachukia wanaume.Nikakaa kwa miaka miwili bila boyfriend. Sasa akatokea huyu kijana, akanipenda, kwa kuwa nilikuwa sitaki kuwa naye nikiogopa kuumizwa tena, nikamwambia...
  10. Nasema

    Ni kipi chanzo na tiba ya misuli ya jicho kutikisika?

    Wadau wa JF Doctor naomba mnisaidie. Kwa kipindi cha takribani wiki mbili sasa jicho langu la kushoto limekuwa linacheza sana sehemu ya juu (inayoshikilia kope) na kusababisha jicho zima kucheza hadi wakati mwingine nalazimika kulifumba kwa muda. Hali hii imekuwa inatokea kwa vipindi tofauti...
Back
Top Bottom