Kufanya mapenzi kwenye gari, sehemu za wazi kama barabarani, etc ni kwanini, nini raha yake?

Nasema

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
556
344
Wadau wa MMU habari zenu!Leo naomba maoni yenu juu ya hili, ninalifikiria sana na sipati jibu!Hivi una mpenzi wako wa kiume, wote mna sehemu mnazoishi (yaani kila mmoja amepanga kwake) hivyo mngeweza kwenda nyumbani mkadunguana vema tu, mnaaminiana. Sasa mmetoka mkaenda sehemu kupata dinner na kupunga upepo. Mwanaume anaanza kukutomasa mara akuingizie vidole, anyonye matiti (hasa mkiwa maeneo ya beach nyakati za usiku) mkajiaminisha watu hawawaoni, pengine mnaishia kufanya mapenzi upenuni tu ama kwenye gari au pengine hata anapaki gari pembeni tu, anakuambia ushuke yeye anakuinamisha, anaku..... mnamaliza haja zenu.Swali langu hapa ni je hili ni jambo la kawaida kwa wapenzi kufanya mapenzi mahali popote tu wanapopata hamu? Wadau mnalichukuliaje? Msichana ukifanyiwa hivi na mvulana unajiona kama anakuheshimu kweli? Sababu ya kufanya hivi huwa ni nini hasa? Kwa nini wasiende chumbani? Kuna raha yoyote ya ziada inayosababisha wapende hivi?
 
Kuna mwanafalsafa mmoja wa Kigiriki anaitwa Arisstotle aliishi kati ya (384 BC – 322 BC). Kuna wakati alifuatwa na watu na wakamuuliza hili swali, "Hivi mwanadamu ni nani?". Aristotle akawajibu, "Mwanadamu ni mnyama asiye na manyoya".
Kutokana na hiyo nukuu ndogo tu, unaweza ukaelewa kuwa, kama vile kuku(tetee na jogoo) wanavyofukuzana au mbwa wanavyofanzana hadharani ili tu walane uroda, vivyo hivyo unyama huo utauona kwa mawanadamu linapokuja suala la ngono, mahaba au uroda
 
Utamu wa ngono hautegemei na wapi tendo linafanyika. Vitu kama ufaragha wa mahali penyewe na ridhio la wahusika wote wawili ni muhimu. Kama hakuna ridhaa, yaani, mwanaume 'anakuinamisha' tu, iwe porini au chumbani, hakuna maana. Tatizo pia wanawake wengine hawajui kuargue, kumwambia mumeo au mpenzio kuwa 'sitaki' haitoshi. Argue na mshawishi. After all, uchi ni wa kwako.
 
Pole kwa yaliyokukuta "Nasema" naamini umeelezea from your experience..Kwa kifupi kama mtu anakupenda kwa dhati hawezi kukufanyia kitu chochote bila radhaa yako. Kwani anapokuomba ushuke kwenye gari na kukuinamisha.. wewe ukikataa anasemaje.. Au mlipokuwa beach mkafanya hadharani ulijaribu kukataa akalazimisha au na wewe ulikuwa unataka kutest new environment. Kwa wapendanao wote mnatakiwa kuset standards zenu siyo kufanya tu kama kuku..ila pole sana na ikiwezekana mpige chini huyo jamaa hafai kuwa mpenzi wako.. Come in this way:flypig:
 
Kama wamekubaliana sioni tatizo. Do it when you want it, it has a kind of pleasure. Ndio maana wapenzi wengine wanaweza kupata ile kitu jikoni, kwenye sofa, bafuni, n.k.
 
Ukisikia Fantasy ndio izooo acha uwoga raha Popote,Kitchen,sittin room,kwenye gari,swimming pool,Beach and Washroom..Mapenzi hayana formula kuna Jamaa allipigwa Blow job hadi alipitiliza ile roundabout/keepleft ya kawe ha ha ha

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Wadau wa MMU habari zenu!Leo naomba maoni yenu juu ya hili, ninalifikiria sana na sipati jibu!Hivi una mpenzi wako wa kiume, wote mna sehemu mnazoishi (yaani kila mmoja amepanga kwake) hivyo mngeweza kwenda nyumbani mkadunguana vema tu, mnaaminiana. Sasa mmetoka mkaenda sehemu kupata dinner na kupunga upepo. Mwanaume anaanza kukutomasa mara akuingizie vidole, anyonye matiti (hasa mkiwa maeneo ya beach nyakati za usiku) mkajiaminisha watu hawawaoni, pengine mnaishia kufanya mapenzi upenuni tu ama kwenye gari au pengine hata anapaki gari pembeni tu, anakuambia ushuke yeye anakuinamisha, anaku..... mnamaliza haja zenu.Swali langu hapa ni je hili ni jambo la kawaida kwa wapenzi kufanya mapenzi mahali popote tu wanapopata hamu? Wadau mnalichukuliaje? Msichana ukifanyiwa hivi na mvulana unajiona kama anakuheshimu kweli? Sababu ya kufanya hivi huwa ni nini hasa? Kwa nini wasiende chumbani? Kuna raha yoyote ya ziada inayosababisha wapende hivi?

umesahau JIKONI, OFISINI,BAFUNI NA KUISHIKISHWA MASINK YA CHOO...........! Hasa ukimfanyia mwanamke wa kuiba unalo! hakuachi daima!
 
Back
Top Bottom