Search results

  1. Dansel

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    A scam is a deceptive scheme or trick used to cheat someone out of something. Sasa refer kitendo cha kusema umeweka majina, Wakati kitu kilichokuwa provided ni Link za DC na MC tu.
  2. Dansel

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Hahaha, yaani hapo ni mtu anatafuta Traffics kwenye site yake. Mfano mzuri jamaa atuletee ya Ilemela kutoka hapo kwenye blog yake
  3. Dansel

    Unajua satellite ni nini?

    Fact, yaani maelezo ya jamaa yanafurahisha sana. Kagoogle haraka haraka tu, na kutranslate, Kisha kuleta huku.
  4. Dansel

    Mikopo mtaani imesababisha Watumishi wa Serikali kutokukaa na kadi za ATM

    Si umetoka kurogwa huko kwenye thread yako, kila mambo hayaendi, Sasa hivi unakopesha watu 33 tena. Hii ndo JF bwana.
  5. Dansel

    Kioo Cha kamera ya nyuma Infinix Hot 11

    Mkuu Nashukuru Kwa ushauri, ntaenda kuwaona.
  6. Dansel

    Kioo Cha kamera ya nyuma Infinix Hot 11

    Hahaha... Asante Akaliza
  7. Dansel

    Kioo Cha kamera ya nyuma Infinix Hot 11

    Wakuu kwa bahati mbaya kioo cha kamera ya simu yangu aina ya Infinix Hot 11 (kamera tatu Kwa nyuma). Kimecrack hivyo kufanya camera kutokupiga picha angavu. Msaada Kwa wapi naweza pata replacement na itakuwa bei gani. Kwa Sasa nipo Mwanza.
  8. Dansel

    Best Tanzanian Artist kwa sasa

    Nikiwa kama mdau, ambae nimeanza ufatilia mziki wetu kwa muda mrefu sasa. Nanimekua mshabiki wa wasanii wengi toka game ya Bongo inaanza kolea mwaka 2001, No dhahiri na wazi kwa sasa hakuna msanii kama Harmonize. Yaani kwa wapenzi wa mziki nadhani mshaelewa no one do the best, and good in EA...
  9. Dansel

    10 years of Diamond Platnumz

    Show imepoa, balaa. No vibe kabisa.
  10. Dansel

    Harmonize, kwa wimbo huu wa Kushoto Kulia tafuta tu kazi nyingine ya kufanya, muziki huuwezi

    Bonge moja la Diss Track, Maneno Majungu Tupa Chini, Mziki utawale, Nyapara kafunguliwa Pingu, Kutwa Tunachana Mawingu. Kama hujaelewa hii ngoma Endelee tu kusikiliza Baba lao
  11. Dansel

    Civil consultants.

    ERB kwenye web site yao, utaona firm ila mara nyingi Tendering Process huwa ni confidential katika baadhi ya stage, mfano proposal writting ambapo shortlisted Firm ndo wanakuwa wanafahamu, hivyo usipokuwa kwenye ile chain ya shortlisted firm inakuwa ni ngumu sana kufahamu. Ila Tanroads kwenye...
  12. Dansel

    Civil consultants.

    ERB for Consulting Firm na CRB for Contractors
  13. Dansel

    Je unajua report ya uchunguzi ya ajali ya ndege kuwa ilishatoka? Pitia hapa

    Hapo kwenye, Take off speed ya 500 km per 4 minute, nadhani inabidi urekebishe as ina imply 7500 km kwa saa,hiyo speed ni ultimate.
  14. Dansel

    Aleji ya macho

    Zinapatikana Pharmacy nyingi tu. Usiache kutumia na hizo za maji ( Hope ulipewa Alerchek). Macho yashawahi nisumbua sana, mpaka nikavaa miwani, By the moment naenda CCBRT ndo nikagundua ni allergy. Nilitumia B-Complex, Cetrizine, Alercheck na ivydexnico eye drops.
  15. Dansel

    Aleji ya macho

    Tumia dawa kama Cetrizine, inasaidia kupunguza kiwango cha histamine katika mwili. Histamine ndo kemikali ambayo inasababisha mzio (aleji), pamoja na hizo dawa walizokupa.
  16. Dansel

    Kwanini mkoa wa Njombe kuna baridi sana?

    Nikusahihishe kidogo, Ni kila Mitaa mia ndo unaloose hiyo 0.6 centigrade.
  17. Dansel

    Kwanini Uber haziruhusiwi kuchukua abiria Mwalimu Julius Nyerere International Airport?

    Kuzifahamu ni rahisi, Tax za kawaida zina Sticker Imeandikwa Airport ubavuni. Uber hazina sticker na zinakusa na plate number nyeupe
Back
Top Bottom