Search results

  1. C

    Ungefanyaje?

    Habari zenu wandugu, naomba kaushauri kidogo Kuna demu nilikuwa na mahusiano naye kabla ya yeye nilizaa na mwanamke mwingine. Huyu demu ambaye bado sikuzaa naye alinikubari sana kifupi wote hata niliezaa naye hivyo hivyo coz walikuwa wanagombana sana,. Sasa ishu inakuja huyu demu alisafiri...
  2. C

    Naomba msaada computer

    Naombeni msaada mwenye kujua tatizo hili: Mafaili baadhi kutokufunguka na yote ni video player na kuandika hivi(0xc0000005) nifanyeje nimecheza nayo wee wapi au ni antvirus nitumie? Msaada naomba wanajamii
  3. C

    Inavyoonekana Peter wa Royal Tour amekula hela ndefu sana. Filamu imeeonesha zaidi Zanzibar kuliko Bara

    Ndugu wanajamii nadhani tumeona uzinduzi wa tour hii, but kuna vitu Filam hii hatukatai itatangaza nchi, lakin mjomba Peter Producer kapiga pesa ndefu sana sio utani. Billion 7 lakujiuluza eti imechangwa na watanzaia? Mbona hatukuona uchangishaji ukifanyika. Filam hii asilimia kubwa imebase...
  4. C

    Christmas hiyoooo!!!

    Christmas ni sikukuu namba moja kubwa duniani coz mbaka wenye misimamo na din nyingine huiongelea sanaa, wengine husherekea kimya kimya mfano nchi za kiarabu ambazo zenye waislam wengi. Watu wasiojua ndio sherehe ya kikristo inaoingiza mapato makubwa sana nchi nyingi kuanzia usafiri wa anga...
  5. C

    Bigbrother Africa tunaomba irudishwe

    Bigbrother ni mchezo mtamu sanaaa, ni mchezo wa kutumia akili sanaa, ni mchezo wenye burudani ndani yake na ni mchezo wa kufunza jinsi ya kumsoma mtu kisaikolojia na hata kumhisi huyu mtu anawaza nini. Naupenda sana mchezo huu naona jinsi nigeria inavyozidi kunawili kujulikana duniani kupitia...
  6. C

    Rayvanny vs Harmonize

    Naona watu wanajiuliza hivi kati ya hawa wawili rayvan na harmonize nani yupo juu kimafanikio au kwamana ya utajiri? Coz namuona mwijaku leo kwenye radio kataja wasanii wanamuziki ambao ni matajiri diamond, alikiba, harmonize na jux hivi ni kweli hawa ndio wanaongoza kwa utajiri? Na...
  7. C

    Barbara Gonzales ni mtu wa asili ya wapi?

    Naomba kuuliza wanajanvi wenzangu hivi huyu mwanadada wa Simba, Barbara Gonzales ni mtu wa kutokea nchi gani. Ni hayo tu wanajanvi na kaolewa!!?
  8. C

    Wimbo huu nitaupataje?

    Wanajamii wenzangu, Naomba mnisaidie kuutambua wimbo, siujui jina but inadaiwa ameimba Mwafrika, sijui nchi gani hapa Afrika but Wahindi wameuiga kwenye movie inaitwa Gupt (wimbo unaitwa jina la hii movie Gupt) lakini original yake ni Afrika. So kila niki-Shazam nipate zinazofanana nayo...
  9. C

    wakristo wa tanzania tujifunze wanigeria

    Kuna kitu nimekifanyia uchunguzi mara nyingi ni kuhusu hizi sherehe za msimu wa krismas christmas festival or carol wenzetu wanigeria wanaondoa udhehebu wanaungana wakristo wootee na kufanya tamasha la msimu huu kama unatumia dstv angalieni chanel imeandikwa nigeria festval kila mwaka kipindi...
  10. C

    Mitandao nayooo ni jipu

    Wakuu naomba ushauri wala sielewi hii kitu kuna mademu kama nane hivi ambao ni marafiki kwenye mitandao fb sasa nikajiunga na instagram so nikawaadd wote marafiki waliopo fb baadaye nikaona haina maana coz hao marafiki wa fb mbona ninachatinao huku fb so insta itabidi ni add wapya. So...
  11. C

    Nipo njia panda

    Habari wanajamii, mwenzenu nipo njia panda kwanza nilizaa na demu ambaye tabia yake inanishinda na nikawa na demu mwingine ambaye anajua kabisa nina mtoto na anamjua demu niliyezaa naye but demu akakolea mbaya mbaka akadai nimchukue mtoto na sio siri mchezo kitandani anauweza sasa kuanzia body...
  12. C

    love mitandoni je hivi utajuaje kama huyu demu anakupenda mitandaon? mtusaidie kujua

    Wanajamii habari zenyuuu!! wajameni kuna kautafiti kapi eti unaweza ukagundua kwenye mitandao ya kijamii especially fb kwamba huyu mwanamke au demu anakupenda? coz mi binafsi kuna kautafiti nimekaona moja ni vijembe ingawa unaweza ukawaza pengine yeye mbona ana marafiki wengi kuliko wewe pengine...
  13. C

    Najuta kumfahamu huyu mwanamke

    Habari zenu waungwana, Mwenzenu kuna msichana nilizaa naye ila sikutegemea yaani bahati mbaya ni mzuri but ana vidharaudharau ingawa mimi ananionesha kwa mbali. Kwanza wakati mjamzito nilimlazimu atoe coz familia yake ni moto akakubali kutoa kumbe ananitega ikafika siku nataka twende akatoe...
  14. C

    Ndugu zangu wananitaka kimapenzi

    Nilipata wasaa wakumtembelea bro Arusha kufika kama kawaida nilikaa kidogo japo miezi miwili basi pale kwa bro kulikuwa na ndugu wengine wamekuja pale mmoja nilimkuta mwingine alikuja baada ya mimi kutangulia wakawa wananigombania bila kujijua, kila mmoja ananiambia wewe sio ndugu yangu fanya...
Back
Top Bottom