Idondoshe chiniNaombeni msaada mwenye kujua tatizo hili:
Mafaili baadhi kutokufunguka na yote ni video player na kuandika hivi(0xc0000005) nifanyeje nimecheza nayo wee wapi au ni antvirus nitumie? Msaada naomba wanajamii
Be serious mwana coz hata wewe huwenda ikakusaidia baadayeIdondoshe chini
Asante mjomba ila niliifuta hii player na nikaijaza upya bado ikafanya kazi kisha ikarudi tena hivyo ila hapa ninatumia player ipo kama promo tu ndio inafanya kazi but nimeizoea hii ya vlc but inaandika hizo nambaNdugu kwan unatmia player gani? Jarib VLC ila hakiksha ni ya window yko (VLC PLAYER 64bit) ikizinguw itabid update antvirus na scan system/mashine kwa ujumla
Nimeinstall upya bado inazinguaweka hiyo code google utapata majibu, au fanya installation upya.
kuna fault kwenye hardware either memory au hdd.Nimeinstall upya bado inazingua
Ninatumia player nyingine inakubari but ipo kwenye promo, but player zoote nyingine hazifunguki zinaweka hiyo numberkuna fault kwenye hardware either memory au hdd.
Zote video hazifunguki kwenye player hii vlc na player nyingine inaandika huo ujumbehiyo video ni ya file extension gani ?
umenikumbusha mwaka 2009