Search results

  1. K

    Msaada kutoka kwa Pharmacist

    Kuna dawa aina 3 nimeandikiwa mojawapo ni ya kunywa asubuhi baada ya chai. Bahati mbaya alisema kwa mdomo tu ila hakuandika na hospitali ni mbali. Naomba kama kuna mtaalam anisaidie kutambua 1.Neuro support 2. Calcimag 3. Meloxicam Natanguliza shukrani
  2. K

    Msaada - kioo cha nyuma cha toyota Camry

    Nina toyota camry ambayo imevunja kioo cha kwenye but. Naomba msaada wanapochonga vioo hapa Tanzania, au kenya na Uganda maana Dar es salaam nimetafuta nimekisa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    Japanese Toyota vs Toyota Indonesia

    Habari wakuu Swali dogo sana. Hivi toyota zinazotengenezwa Japan zinaingiliana spea na zile zinazotengenezwa Indonesia? Kuna toyota niliagiza kutoka Indonesia sasa kupata kioo cha nyuma imekuwa shida Msaada tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    Ugonjwa gani huu

    Ndugu zangu Mara nyingi hunitokea ghafla nagusa/napiga mkono vitu vikiwa mezani. Mfano naweza kuletewa chai lakini ghafla kunakuwa kama mtu kasukuma mkono wangu na kumwaga chai. Vivyo hivyo hutokea nikiwa na kinywaji mezani kama soda na kadhalika Yaani inakuwa kama kuna mtu kagusa mkono wa...
  5. K

    Msaada kuhusu Suzuki Grand Escudo S-Edition ya 2002

    Wakuu, heshima kwenu Hii gari nimeitamani sana na nilikuwa nimefikia hatua ya kuilipia maana invoice tayari wamenitumia. Ni kupitia tradecarview Katika kupitia kwenye mitandao, kuna maoni tofauti tofauti wengine wakisema ni gari nzuri huku wengine wakiiponda na kusema ni laini mno na zinachoka...
  6. K

    Nipe kiwanja nikupe gari

    Wakuu nahitaji kiwanja Mwanza au Shinyanga au Nzega. Nakupa Toyota Gaia au Toyota Platz zote zikiwa na mwaka tangu ziingie Tanzania. Chagua gari kati ya hizo then kama kiwanja kipo vizuri nakuongeza na cash Nipm
  7. K

    Msaada kuhusu Ushuru wa bidhaa Airport

    Wakuu nipo Nairobi hapa kuna simu nimeziona zinauzwa bei rahisi sana. Nataka ninunue kama za TZS 4,000,000 hivi ili nikongeze kwenye duka langu la simu. Woga wangu ni kuhusu TRA pale airport Kilimanjaro hawatadai uchakavu kweli? Pia nataka ninunue TV je nayo ikoje kuhusu ushuru. Naombeni msaada
  8. K

    Msaada kuhusu Amazon refund

    Wakuu nilinunua simu kupitia amazon mwezi march 2015. Bahati mbaya haikufika. Alituma kama kama priority mail letter. Ameomba nichague mambo mawili: Refund au anitumie simu nyingine. Mimi nataka refund ila anadai sitarudishiwa shipping cost. Ni sawa tu kwangu. Je inawezekana hela zikarudi kwenye...
  9. K

    Lcd display replacement for acer aspire v5 inch 10

    Ndugu zangu Wapi nitapata hii kitu. Laptop yangu ilidondoka na sasa no display. Nataka nifanye replacement, wapi nitapata hapa Dar?
  10. K

    Tatizo la Network kwenye HTC one m7 Last resort, naomba msaada

    Habari ndugu zangu. Hii Simu nililetewa kutoka marekani. Huko ilikuwa inatumia mtandao wa tmobile. Ilipoletwa huku haikamati network. Nimekaa nayo mwaka sasa Mafundi wengi wamejaribu wakashindwa.Simu inaonekana ni unlocked na kila kitu kilo fine isipokuwa network tu Hebu nipe fundi Wako...
  11. K

    Naomba msaada kujua kama tatizo la simu hii ni Software au Network Lock!

    Watalaam wa htc one, nimekuja tena. Safari hii naomba niweke data/information ili ziwasaidie katika kuamua kama hii simu yangu ni LOCKED, TATIZO LINGINE LA SOFTWARE AU NI TATIZO LA HARDWARE. Awali ya yote niliipeleka kwa mhindi mmoja ambaye ni dealer wa Samsung akaniambia inabidi adownload...
  12. K

    Miliki simu origin

    SIMU ZOTE NI USED, UNLOCKED FROM USA NIPO MWANZA UKIRIDHIKA NA MOJAWAPO, NIPM LG G2X SIM card size: Mini Sim - Regular Memory card: Micro SD max. 32 GB OS: Android 2.2 Dual Core processor 512 MB RAM HSDPA 21 Mbps HDMI port...
  13. K

    Starlet inauzwa - bei ya kutupa

    Ipo katika hali nzuri kabisa. Alarm sytem Remote key less etc Sababu ya kuuza: Nimeagiza gari nyingine Bei: Tshs 5,000,000 Jinsi ya kuiona: Jtatu hadi Ijumaa MWANZA JUMAMOSI NA JUMAPILI SHINYANGA PM kama unahitaji check picha hapa chini
  14. K

    Natafuta Nokia Lumia 920

    Natafuta simu tajwa hapo juu. Nipo Mwanza, Muuzaji awe tayari kuifanyia majaribio kutambua kama ni origional Budget yangu: Tshs 400,000
  15. K

    Natafuta mwalimu wa quickbooks

    Natafuta mwalimu wa kunifundisha kutumia quickbooks, nipo mwanza. Awe mtalaam au ana uzoefu tu wa kutumia software hii. Kwa aliyeko mwanza au mikoa ya jirani naweza nikamfuata au akaja ofisini kwetu. Kwa mtu wa dar naweza kuja au akanifundisha online. MALIPO Kama utanifuata ofisini utalipwa...
  16. K

    Natafuta chumba na sebule/ au Chumba kimoja Mwanza mjini

    Maeneo ya Mkolani, Buhongwa. Nyegezi pia naweza kufikiria Chumba na sebule self contained, au Chumba kimoja self contained,au Siyo self lakini cha wapangaji wachache, angalau mmoja au wawili Packing Kama unacho, niPM na contacts ili nikupigie
  17. K

    Msaada kuhusu kesi za ndoa

    Naomba msaada wakuu Tulikoroshana na my wife 2008 mwaka mmoja tu baada ya kufunga ndoa ya kikatoliki. Akarudi kwao na kubeba baadhi ya vitu vyake. Tukaendelea na mawasiliano huku tukijaribu ku reconcile. Imeshindikana kurudi na nikaamua kuomba talaka na yeye akakubali. Tukaanza ustawi tukapewa...
  18. K

    Mamlaka ya Elimu Tanzania - Tanzania Education Authority

    Wakuu heshima mbele Nimeitwa kwenye interview katika mamlaka ya elimu tanzania kwenye managerial post, naomba mwenye ufahamu kuhusu mamlaka hiyo, anijuze mishahara yao, haki katika kuajiri (kama hawana upendeleo), allowances n.k. Nimeuliza kwa sababu niko Botswana kwa sasa ili nisichome nauli za...
Back
Top Bottom