Wakuu heshima mbele
Nimeitwa kwenye interview katika mamlaka ya elimu tanzania kwenye managerial post, naomba mwenye ufahamu kuhusu mamlaka hiyo, anijuze mishahara yao, haki katika kuajiri (kama hawana upendeleo), allowances n.k. Nimeuliza kwa sababu niko Botswana kwa sasa ili nisichome nauli za bure, maana wengine huwa wanatangaza nafasi zikiwa tayari zina walengwa au wakati mwingine na watu wapo tayari ofisini.
Naomba kama nimetumia maneno mabaya mniwie radhi, ni katika kuhangaika kutafuta maisha
Wasalaam