Msaada kuhusu Ushuru wa bidhaa Airport

Msaada kuhusu Ushuru wa bidhaa Airport

Kisiwa

Senior Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
127
Reaction score
20
Wakuu nipo Nairobi hapa kuna simu nimeziona zinauzwa bei rahisi sana. Nataka ninunue kama za TZS 4,000,000 hivi ili nikongeze kwenye duka langu la simu. Woga wangu ni kuhusu TRA pale airport Kilimanjaro hawatadai uchakavu kweli? Pia nataka ninunue TV je nayo ikoje kuhusu ushuru.
Naombeni msaada
 
Lazima wakuotee kama vipi, beba na hiyo TV kisha kaodokee Mombasa waachie ndege yao! Ukifika Mombasa tafuta usafiri wa mashua... !
 
Lazima wakuotee kama vipi, beba na hiyo TV kisha kaodokee Mombasa waachie ndege yao! Ukifika Mombasa tafuta usafiri wa mashua... !
Duh. Hii imeshakuwa shida
 
Back
Top Bottom