Natafuta chumba na sebule/ au Chumba kimoja Mwanza mjini

Natafuta chumba na sebule/ au Chumba kimoja Mwanza mjini

Kisiwa

Senior Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
127
Reaction score
20
Maeneo ya Mkolani, Buhongwa. Nyegezi pia naweza kufikiria
Chumba na sebule self contained, au
Chumba kimoja self contained,au
Siyo self lakini cha wapangaji wachache, angalau mmoja au wawili
Packing
Kama unacho, niPM na contacts ili nikupigie
 
Jamani nipeni angalau namba ya dalali
 
Kuna nyumba mpya mkolani ya vyumba vitatu viwili self. Kuna dada mmoja amechukua kimoja self. Chukua vilivyobaki sh. 150000 unalipa kila mwezi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom