Search results

  1. J

    Mchungaji Gwajima ashindwa kuyatoa mapepo ya Josephine

    my people! Hivi IMEWEZEKANAJE KWA MCHUNGAJI/ASKF GWAJIMA KUMFUFUA MTU NA KUYASHINDWA MAPEPO ALIYOSEMA JOSEPHIN ANAYO!!?
  2. J

    Ajali ya gari Bunju, wananchi wachoma Kituo cha Polisi

    Kama ulikua na ratiba ya kwenda bagamoyo acha kabisa. Watoto wa shule ya msingi wamelala barabarani baada ya mwenzao mmoja kugongwa na gari na inasemekana amefariki dunia, hvyo kuanzia Bunju A Bunju B kuendelea ni balaa hata baiskeli hakuna wameshika mifagio na magongo na raia wako makini...
  3. J

    IT services (bagamoyo road)

    wakuu! msaada kwa mwenye cd za program muhimu kama windows 7,xp,8 obunt,antivirus na zingine muhimu anisaidie nimepoteza poch ya cd kwenye harakati za mjini. kama unaishi bagamoyo road na maeneo karibu na hayo kama ubungo manzese mwananyamala tegeta boko bunju mapinga ntakufuata maana kazi...
  4. J

    Fanya hili zoezi kwa afya ya sauti

    Its Funny! Sio kila siku mziki, siasa, mapenzi. Sometimes mazoezi ya sauti yausike JF: ~Wote tuseme "umekula maharage ya wapi" kwa sauti ya Gwajima. ~Wote tuseme "hoooo" kwa sauti ya Rick Rossee pia. ~Wote tuseme "ivo ivo" kwa sauti ya Erick. ~Wote tuseme "ukiipenda sura...
  5. J

    Unataka kuishi miaka Mingi? (siri imefichuka)

    Trust Me Bibi yangu aliniambia jambo moja likanishangaza sana, baada ya kumuuliza ni nini kilichomuwezesha kuishi miaka zaid ya mia japo alikua wa kubeba ila brain capacity yake ilikua fit tu. Akasema. "UKITAKA KUFIKIA UMRI KAMA WA KWANGU KUA NA MWANAMKE MMOJA TU AU MWANAMKE AWE NA MWANAUME...
  6. J

    Ningekua FID Q

    "Again n again" - Ni mtazamo tu! Laiti kama ningelikuwa FID Q Mwana Hiphop mkali Bongo; - Ningepiga collabo na Fat Joe faster pale tu nilipokutana nae na kuonesha kukikubali kipaji changu. - Ningekubari binadamu amle simba kwa kutoa milioni zaidi ya 40 kwa ajiri ya video zangu na sio kua na...
  7. J

    Ningekuwa Ally Kiba

    Yaaap! samahani lakini! Bila shaka tunaenda sawa. Laiti kama ningelikuwa Ally Kiba, ningefanya yafuatayo; - Ningeua nyani huku namuangalia usoni. Yaani ningevunja vunja uongozi wangu wote na kuunda safu mpya au kufanya kazi mwenyewe. Muundo wa uongozi: - Afisa Masoko - Time manager - Mtu...
  8. J

    Je, ni faida au hasara kutumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii?

    Hope we are fine again!. Pengine walishazungumza lakini hii ni kwa upande wangu. Now days watu wako 2 busy na simu zao hata stori hakuna unapokuwa na rafiki yako au mpenzi, utakuta anacheka wakati unaongelea story ya huzuni kumbe kashasoma status. Akiigeuza simu anakuitikia,, '' nikweli...
  9. J

    Escape From Sobibo

    okey!!... kwa wale walio iona movie ya escape from sobibo, hv ile ni story ya kweli? maana! tukumbushane basi baadhi ya matukio amaizing kama ya wale wafungwa kuruka juu ya senyenge na kutokea upande wapili,, wapi bongo movie!?
  10. J

    Updates: Ngoma Kali Za Hiphop Bongo Vs Duniani

    Wadau!! tutiririke na mangoma ya hip 2 hiphop duniani tuongeze siku!. tujuzane, tuskilize tujifunze Pia.. tuanze: *forever young_ jay z *home boys_ the game *am a boss_rick rosee *i see me_joe makini *bongo hip hop_ fid q *am still fly_ drake *loading .... . . . .
  11. J

    Udates: Ngoma Kali Za Hiphop Bongo Vs Duniani

    Wadau!! tutiririke na mangoma ya hip 2 hiphop duniani tuongeze siku!. tujuzane, tuskilize tuongeze siku.. tuanze: *forever young_ jay z *home boys_ the game *am a boss_rick rosee *i see me_joe makini *bongo hip hop_ fid q *am still fly_ drake *loading .... . . . .
  12. J

    historia ya mtailand aliecheza HOME BACK,.

    salam wapendwa! natamani kumfahamu zaidi mtailand wengi humuita home back mzee wa vipepsi, anaenikosha sana kwa mapigo yake. naskia aliuliwa, baada ya kugoma kuchezea picha zake hollywood sina uhakika anaefahamu nipo makini nasubiri ajimwage,.
  13. J

    Wekezeni kwenye hii biashara (muajiri vijana wengi)

    salaam!! Nimeona nililete hili wazo kwenu nikiwa kama msanii kwa kuona upeo mkubwa wa wanajamii wakushauri na kukosoa pia,. imekaa poa sana hii! ni biashara ya mziki, wasanii wengi east africa tunayumba kwa kukosa menejiment sio kwamba hatuwezi kuimba/kurap hapana lakini ni nani...
  14. J

    Nahitaji muandishi mahiri wa script +

    hellow!! ombi ombi yule anaeweza kuandika script kwa kiwango cha kimataifa au cha ubora unaohitajika naomba aungane namimi katika uandikaji wa script za filam nne (kali) sina pesa ya kumlipa but fahari yetu tutaipata baada ya maandishi kuwa into real thing kwa kufanyakazi na makampuni...
  15. J

    Nina utajiri mkubwa lakini bado masikini

    wana jf,, i am 21 years old. nadhaamni sio umri mdogo kwangu but naskitika kuona sijapiga hatua hata moja inayoonekana ingari nina utajiri mkubwa kichwani mwangu,afya na nguvu pia labda sichangamkii fursa sielewi,, hadi sasa nimeandika tamthilia,filam karibu tano za uhakika kwakua najua vtu...
Back
Top Bottom