Trust Me
Bibi yangu aliniambia jambo moja likanishangaza sana, baada ya kumuuliza ni nini kilichomuwezesha kuishi miaka zaid ya mia japo alikua wa kubeba ila brain capacity yake ilikua fit tu.
Akasema.
"UKITAKA KUFIKIA UMRI KAMA WA KWANGU KUA NA MWANAMKE MMOJA TU AU MWANAMKE AWE NA MWANAUME MMOJA TU DUNIANI" mwisho wa kunukuu zakuambiwa changanya na za kwako.