Search results

  1. baina

    Kuhusu hotuba ya jk: Naomba tujadili masuala haya kwa umakini

    Mazee bila shaka mnakumbuka jinsi jk alivyoponda kwa sana taarifa ya tume ya walioba, na zaidi hasa kwa kuponda suala la waliotoa maoni, mimi ninaomba tujadili haya; 1. mara baada ya tume kukutana na watz ilikutana pia na taasisi mbalimbali na vyama vya siasa, na hapa kuna suala moja kwamba...
  2. baina

    Wataalamu wa katiba naomba mnisaidie ktk ili.

    Kwakuwa bunge la katiba linaendelea mpaka sasa, na kwa kuwa kundi kubwa la waliomo humo ni wabunge ambao tuliwachagua sisi na kwa kuwa hao wabunge waliapa kulinda katiba ya JMT, na zaidi kwakuwa ktk katiba ya sasa ya JMT hakuna kifungu chochote kinachowapa madaraka hao jamaa kutunga katiba mpya...
  3. baina

    msaada wa kisheria kuhusu employment contracts

    Samahani wanasheria naomba kufahamishwa kuhusu tatizo hili, Kuna mwajiri (jina kapuni) anataka kubadilisha/kufuta mikataba ya wafanyakazi wenye ajira ya kudumu (a contract for an unspecified period of time) na eti awaingize katika mikataba ya muda maalum. Hapa nashindwa kuelewa kama sheria ya...
  4. baina

    msaada: Voice Navigation System - Toyota ND3T-W54, DVD Japan 2005 (A23) 86271 V358A4

    wanajf nina gari langu aina ya surf cd yake niliipoteza na kwa mantiki hiyo sina ubavu wa kupata raha kupitia DVD/radio yake. hivyo naomba mwenye link ya kudownload hii kitu anisaidie. inaitwa ''Voice Navigation System - Toyota ND3T-W54, DVD Japan 2005 (A23) 86271 V358A4'' without quotes...
  5. baina

    Msaada : Ardhi university admission letter.

    Kwenye website ya chuo cha ardhi kuna link ya kushusha barua hizo, na ukiclick link za barua za program nyingine zinaachia mzigo na unadownload lakini mimi ambaye shida yangu ni kushusha adm. letter ya Bachelor of Science in Environmental Science and Management (B.Sc. ESM) nimeshindwa, naomba...
  6. baina

    Ardhi mbona hawatoi? Nimechoka kusubiri

    Jamani hivi hawa jamaa wa ardhi mbona hivi?, yaani admision nazo mpaka tuonge?, kama hawataki si waache. dah.
  7. baina

    Kagasheki na Meya Amani enzi za urafiki wao

    Maasimu wakubwa wa CCM Bukoba , ambao ni mbunge Kagasheki na Meya Amani wakiwa wanalakiana ktk uwanja wa ndege wa Bukoba, mwenye suti nyeusi ni kagasheki, na Amani ndo huyo mwenye koti jeupe na miwani. Hawa jamaa walikuwa marafiki si kawaida, leo hii, mmmmmmmmmmmmmmmm. Ngoja tusubiri matokeo...
  8. baina

    Naomba msaada: Kutumia modem kupiga simu

    Wanajamvi shida yangu ni kwamba modem yangu niliichakachua na kuifanya itumie laini zote na zaidi natumia Metfone 3g sofware kukonect. Na kwa bahati nzuri hii soft. ina call feature, ila tatizo ni kwamba nikitaka kupiga simu napata message hii 'NO DEaVICE, CAN NOT CALL', lakini ni kwamba drivers...
  9. baina

    Msaada: How to enable plug and play (auto run) ktk modem?

    Msaada msaada msaada. Nina modem yangu ya zte ambayo niliifanyia debranding. Shida yangu nataka kuifanya hii modem iwe ina ji-start yenyewe badala ya mimi kui-start manually (plug & play). Nimejaribu NA nimeshindwa. Je kuna njia yoyote/software ya kufanya au kuwezesha ili? Wanajamvi sijui...
  10. baina

    Kuhusu kalenda, tarehe.......swali.

    Wanajamvi samahani naomba kupata shule juu ya haya; 1. ni nani upanga kwamba labda mwaka huu uwe na mwezi february wenye siku 28 au 29? 2. halafu ni nani au kwanini tarehe ubadilika saa sita usiku, na si saa moja asubuhi? 3. namba 2 inaambatana na kwa nini siku uanza saa sita usiku badala ya...
  11. baina

    IGP & RPC Kagera ondoa pandikizi huyu

    Ndugu IGP pamoja na RPC wa kagera naomba mujue kuwa katika ofisi ya RCO kagera kuna askari polisi anaitwa Chris ambaye napenda niwahakikishie kuwa huyu jamaa ni mnyarwanda 100%, na alijiunga ktk jeshi kwa kazi moja tu ya ukachero.Mimi ninayeandika haya ni mtu ninayemfahamu sana huyu jamaa, naye...
  12. baina

    Kuangalia selected program, swali

    Nimefanikiwa kulogin tatizo linakuwa kama ifuatavyo, na naomba msaada hapa. 1. hatua ya kwanza .....login 2. hatua ya pili.......select ni pale kwenye ku-select namba mbili yenye 'My application. 3. Hatua ya tatu....hapa ndo muziki unapokuwa kwani naletewa code za program na yale ma-NO/YES...
  13. baina

    Swali: Je ni wakati gani serikali inakuwa haijahusika?

    Wa Tz wenzangu tumeshuhudia na pia kusikia wakubwa wa nchi hii wakiongea na hata kuchangia mada mbalimbali kuhusu mambo fulani fulani na baadae vyombo vya habari vinaripoti kuwa eti 'SERIKALI IMESEMA ........' Na majuzi tu hivi Mhe. Sitta alilalamika sana kuhusu wizi wa fedha na kusema eti CAG...
  14. baina

    Msaada: Harddisk inaonekana imejaa wakati haina kitu

    Bandungu naomba msaada wa haraka. Kuna HDD yangu ya gb 500 imebakia na free space ya gb 9.4 tu wakati wala haina vitu vyenye size kubwa, na wala sijabackup windows. Nimetumia revo uninstaller, advanced unstaller na ccleaner ku-clean bila mafanikio. Naomba msaada wa haraka. Natumia windows 7...
  15. baina

    Mkuu wa wilaya missenyi sasa umezidi

    Ndugu wana jamvi huyu mkuu wa wilaya anatumia mgambo huko wilayani missenyi mkoani kagera kukamata vijana na kuwalazimisha kujiunga mgambo na ukikataa unachapwa viboko. Masikini vijana hawajui haki zao na hii imeniuma sana na nimeshuhudia kwa macho yangu. Ndugu naomba kama hii ni sahihi mnijuze...
  16. baina

    Huyu ndiye mtalaamu wa shooting bukoba mjini.

    Kwa mahitaji ya video shooting, kama vile harusi, send off, filamu na album za kwaya, n.k kutana na bwana matungwa video production-bukoba. Yupo mkabala na kituo cha mafuta aboos barabara ya kashozi. Ni huyu hapa
  17. baina

    Wataalam wa video editing naomba mnisaidie.

    Mimi ni mjasiliamali kwa upande wa video shooting. Tatizo langu ni kwamba nime-edit video na baadae kui-burn. Sasa tatizo lake ni kwamba ina-freeze (kuganda), mteja wangu sasa kama vile kitanuka. Ndugu zangu hii kazi sasa ni kama miezi sita tangu nimeanza hivyo sijawa na utaalamu mkubwa. Hivyo...
  18. baina

    Msaada: Acer laptop mpya inahitaji password.

    Habari wanajamvi. TATIZO LANGU NI KWAMBA NIMENUNUA ACER LAPTOP NIKITAKA KUINGIA KTK BIO SETUP INANITAKISHA PASSWOD. KWA TATIZO ILI SINA HATA UWEZO WA KUIFORMAT. DOCUMENTS ZOTE ZA UNUNUZI ZIPO, JE NIFANYEJE? NAOMBA MSAADA KWA TATIZO HILI. SHUKRANI MBELE.
  19. baina

    Naomba msaada wa kupata kitu hii

    Wana jf naomba nisaidiwe software inayoitwa 'adobe master collction cs3, au cs4 au hata cs5 ambayo ni full ili niweze kuendeleza ujasiliamali wangu wa editing. Ndo nimeanza kujialiri hivyo bado sijapata uwezo wa kununua hivyo mwenye link ya hii kitu naomba anisaidie tafadhali. Natanguliza shukrani
  20. baina

    Je sheria inasemaje kwa suala la kustaafisha?

    Habari za kazi wanasheria WA HUMU JF Shida yangu ni je, katika sheria za kazi kuna kipengere kinachomruhusu mwajiri hawastaafishe wafanyakazi walioko katika mkataba wa kudumu na hawaingize katika mkataba wa muda maalumu e.g miaka mitatu? na je ni haki kukatisha mkataba wa kudumu wa mfanyakazi...
Back
Top Bottom