Msaada: Harddisk inaonekana imejaa wakati haina kitu

Msaada: Harddisk inaonekana imejaa wakati haina kitu

baina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
219
Reaction score
60
Bandungu naomba msaada wa haraka. Kuna HDD yangu ya gb 500 imebakia na free space ya gb 9.4 tu wakati wala haina vitu vyenye size kubwa, na wala sijabackup windows. Nimetumia revo uninstaller, advanced unstaller na ccleaner ku-clean bila mafanikio. Naomba msaada wa haraka. Natumia windows 7. Natanguliza shukrani.
 
umecheck labda kuna hidden files....na pia unaitumia kama External drive au ipo ndani ya pc?
 
Huwa kuna virus fulani anachukua space ya hard disk na ukichunguza kwa makini utakuta space inapungua kila baada ya dakika kadhaa...so ni bora kuipiga full scan kwa antivirus strong sana..

Kama sio hivo kuna hidden files zitafute au tumia linux/ubuntu utaziona....
 
Virus hao ili kuona mafaili nenda kwenye cmd type drive letter na : piga enter then piga comand ya dir kuona folders zilizomo na lst kuona files then kuyapata check file name eg d/jamii/rejao paste hyo link kwenye open windo juu kule ili uyakopi mafaili yako.
 
Mkuu hapo kwenye red sijakupata naomba unipige shule, kwa mifano zaidi.
 
aiseeeee babayangu hayo mambo mi si mujizi ngoja waje vipanga
 
mm ninahisi haom ni virus aina ya autorun ndio wanao duplicate mafail jaribu kubadili antivirus wako hafai itakuwa
 
Back
Top Bottom