baina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 219
- 60
Wanajamvi samahani naomba kupata shule juu ya haya;
1. ni nani upanga kwamba labda mwaka huu uwe na mwezi february wenye siku 28 au 29?
2. halafu ni nani au kwanini tarehe ubadilika saa sita usiku, na si saa moja asubuhi?
3. namba 2 inaambatana na kwa nini siku uanza saa sita usiku badala ya saa moja asubuhi?
Kwao na majibu ni JF ndo maana nimetia timu.