Search results

  1. lusaka city

    Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

    Eliud ni mwizi,mbona hasemi kiasi Cha pesa anacho daiwa,punguzeni chuki kwa matajiri,uaminifu ulikuwa mdogo sana,umeaminiwa aminika
  2. lusaka city

    MBEYA: Kijana afariki saa chache baada ya kuachiwa kutoka Kituo cha Polisi, yadaiwa alipata kipigo kikali

    Leo tokea saa 11 jion mitaa ya aiport ya zamani mbeya hapatoshi raia wamekiwasha ni mwendo wa mabomu ya machozi tu kwel tz polisi hatuna kama mtaa mmoja mbeya masaa masaa 5 wameshindwa kuzima maandamano ndio wataweza kizima maanadamano ya nchi nzima kwel ?
  3. lusaka city

    TCRA mko wapi mpaka hiki kinatokea ?

    Hiwezi pata sms Kama hujawai cheza wewe ni zuzu
  4. lusaka city

    Aliye karibu na Mange Kimambi anisaidie kunifikishia Kwake huu ujumbe maridhawa

    Bora ajar tukan hadharani am sure ata mawaziri wanamtukanaga ila kimoyo moyo
  5. lusaka city

    Gazeti la MwanaHALISI kumuanika Paul Makonda

    Nimekuona ukizunguka kwa mashehe mpaka nikahisi umeslimu. Jana nimekuona kanisani tena nikashtuka ukakazia kuwa wewe ni mwana wa Yesu mshangao ukanipiga. sijajua Yesu yupi uliekuwa unamuhubiri na hata kwa mashehe uliopita sijui walikua wanakuswalia kwa mtume yupi (kakangu katika iman Mungu...
  6. lusaka city

    Sababu ya Gazeti la Jambo leo kuingia vitani na RC Makonda ni Manji kutajwa kwenye dawa za kulevya

    Sawa za kulevya ndio nini? We nawe upelekwe kwa mkemia tu
  7. lusaka city

    Serikali,matumizi ya madawa ya kulevya majeshi yetu pia yachunguzwe

    napenda kuipongeza serikali kwa vita inayoendelea sasa dhidi ya madawa ya kulevye yaani no retreat no surrender wito wangu vita hii isiishie tu kwa wasanii ihamie kwa majeshi yetu na madaktari ikiwezekana amiri jeshi mkuu Muheshimiwa Raisi aoneshe mfano kama Raisi wetu mstaafu JK alipoonyesha...
  8. lusaka city

    Mashoga wote wakamatwe na wawataje wateja wao, ili twende sawa

    Duu kuwapata wateja kuna vigogo wamekubuhu kwakukoroga tope ao
  9. lusaka city

    Kipi kilitokea mpaka Pepsi ikaizidi kete Coca Cola!!

    Mbeya ni jiji la wanywa Pepsi anaebisha over muraaaaa
  10. lusaka city

    Jamani hali ya mahindi ndo hiyo kuna chakula hapa?

    Una hati ya kuishi bongo wewe? Kwa nini unaandika kihindi
  11. lusaka city

    Ipi ya kununua kati ya IST na Altezza?

    Usifananishe aletzza na vitu vya kijinga plz
  12. lusaka city

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Ninapomaliza kusoma hii story ndio nakumbuka nipo Tanzania.maisha magumu.
  13. lusaka city

    Nampenda mchumba wa mwanajeshi

    Jiandae kuliwa kiboga
  14. lusaka city

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Hivi ata mkeo anasubiri Kila jumamosi kweli au amesha fika hadi part 9 .any way usisahau kunitag stori mzuri sana
  15. lusaka city

    Walaaniwe wauza unga wote

    Kuwa specific wauza unga UPI
Back
Top Bottom