Serikali,matumizi ya madawa ya kulevya majeshi yetu pia yachunguzwe

lusaka city

Senior Member
Mar 17, 2015
146
116
napenda kuipongeza serikali kwa vita inayoendelea sasa dhidi ya madawa ya kulevye yaani no retreat no surrender wito wangu vita hii isiishie tu kwa wasanii ihamie kwa majeshi yetu na madaktari
ikiwezekana amiri jeshi mkuu Muheshimiwa Raisi aoneshe mfano kama Raisi wetu mstaafu JK alipoonyesha mfano wakupima maambukizi ya VVU
Mungu ibariki Tanzania
straight toka Lusaka zambia
 
Back
Top Bottom