Lipi jiji zuri kati ya Mbeya na Tanga?

Mbeya nzuri aisee wengi wameshindwa kuelewa sababu ni kubwa kuna seh3m nzuri mbeya mjini, mbeya vijijini utengule huko, tukuyu, kyela tofauti na tanga ni ndogo vyote unavipitia in a day!
 
Mbeya na Dodoma sijaona tofauti kubwa kwa ukubwa, miundombinu na idadi ya watu.
Tanga iko juu kwa kutumia key indicators hizo. Kwa biashara, Mbeya iko juu. Kwa Viwanda, Tanga iko juu.
Miji mitatu hii huwa inanichanganya sana kui rank
1.Moshi
2.Morogoro
3.Dodoma

Hiyo mitatu ina vitu vingi ambavyo vinakaribiana
Ukubwa, Idadi ya watu, Miundombinu, Uchangamfu wa mji na mzunguko wa pesa kwenye biashara.
Dodoma ni mji MKUBWA zaidi ila Moshi pazuri kuliko Moro
 
Na hii ni baadhi ya sehemu katika jiji la tanga
Duh, Raska zone hapo mkuu, napamiss sana hapo maeneo siku za wikendi, unanunua dafu lako halafu unakaa pale kwenye banda huku ukiangalia watoto wazuri hatari wakichezea maji ya Bahari, tanga ni patamu nyie. Msikie tu.
 
Tanga ni pazuri sana kwa mpangilio wa mji,
Mbeya pamoja na kuwa na mpangilio wa kawaida sana bado huwezi fananisha na Tanga,
Tanga ikifika saa12 upo mjini basi kufika Kange sahau, washapaki hiace wamelala.,
Tanga is a typical old and sleeping town
Mbeya ipo dynamic sana, ipo hovyo kimwonekano lakini maisha ya mbeya kwa ujumla ni zaidi ya Tanga Mara 10,
Mbeya kwa Miundombinu ya Afya, elimu na Biashara kwa ujumla ni zaidi ya Tanga
 
Mbeya kugegeda bhana wala huangaiki
Hahahaaaa, umenikumbusha mbali sana mkuu! watoto wa kinyaki na kinyiha unamtongoza anakwambia "naogopa kukubali wewe nipigage tu ngwaala nikianguka ujue nimekubaali" in kinyaki voice.
Unamwangusha black kwenye shamba la migomba unakula mzigo kiulani.
Wanyakyusa hawajui kukataa hata kama atakuwa amezaliwa na kukulia nje ya Mbeya ataendelea kubeba huruma ya kugawa sukari.
NB. nipigage=nipige ngwaala=ngwala/mtama
nikukubali=nimekubali
 
Back
Top Bottom