Search results

  1. Mnyongeni Mnyonge

    House for sale Kigamboni geza nyumba ya kisasa

    Nyumba ina vyumba vinne viwili master , sitting, danning na jiko . Nyumba ina uwanja mkubwa Na ipo karibu na barabara ya rami dk 5 Nyumba ina fence ya kuingiza gari Bei milion 65 Maongez yapo kidogo Call 0718 606739 0685752509 Ipo karibu na barabara ya rami
  2. Mnyongeni Mnyonge

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kisarawe 2 Miguu 25*30

    Kiwanja kizur kipo location nzuri. Kima miguu 30*25 Bei milion 10 maongez yapo kidogo Call 0718 606739 0685 752509
  3. Mnyongeni Mnyonge

    Plot4Sale Beach Plot for sale Kigamboni Darajani

    Beach plot for sale Kigamboni Darajani Eneo linaukubwa wa heka 2 Bei milion 200 Eneo ni Skwata Kwa maelezo zaid call 0718606739 0685752509 Full documents
  4. Mnyongeni Mnyonge

    House4Sale House for sale Kigamboni Mikadi bei milion 120

    Nyumba ina vyumba 3 kimoja master , sitting na daning pamoja na jiko Nyumba ina jiko la nje na ndani . kisima cha maji na umeme. .nyumba ina fence kubwa na nyumba ni mpyaaa Ukubwa wa kiwanja square mita 850 Dk 10 kutoka barabara ya rami Bei milion 120 Kwa maelezo zaidi piga Call 0718606739...
  5. Mnyongeni Mnyonge

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kigamboni Vikunai vinatazamana na maghorofa ya NSSF

    Viwanja vunauzwa Kigamboni Vikunai, vinatazamana na maghorofa ya NSSF. Viwanja vina ukubwa wa mita 27*22 Price = million 5 Cont 0718 606739 0685 752509 Kwenda kuona viwanja site ni buree
  6. Mnyongeni Mnyonge

    Niliyoyaona casino ya Hyatt Regency-The Kilimanjaro

    Wakuu habari zenu? Aisee wakuu naomba msaada wenu kidogo kuna siku nilienda kufanya kazi pale Hyatt Regency hotel kwenye ile casino nliyoyaona pale yalinistaajabisha hasa hili ukiingia pale mlangoni kuna lisanamu fulani hivi limewekwa kwenye meza mlangoni tuu ila wameliwekea pande moja kubwa la...
  7. Mnyongeni Mnyonge

    Kwa hili nawashauri sana wale wenzangu

    Wanajf hamjambo aisee yaan siku ya leo asubuhi subuhi nkiwa njiani kuelekea mkutanoni kwenye kituo flani cha polisi nlipanda daladala wallah kuna kaka kadhalilishwa sijui kadhalilisha mara papu mama mmoja ana-shout "we kaka unambambia dada wa watu mda mrefu mpaka nmekuona unatoa mdudu wako...
  8. Mnyongeni Mnyonge

    Yaani kuna mambo yanatia hasira sana

    Wanajamvi za usiku huu yaani katika vitu huwa vinaniletea hasira huwa ni kitendo cha mtoa uzi kuleta uzi bila kuwa na viambatanishi vya kusaidia uzi wake ili wazeee wa kushadadia tushadadie kwa uhakika na ushahidi tosha. kwa mfano cheki uzi huu au au uzi huu ni moja ya nyuzi nazozikubali...
  9. Mnyongeni Mnyonge

    KAMA NAWAONA VILE WALLAH

    Wanajamvi Kamwene, Yaani nimesikitika kifo cha Ruge sana sasa kama nawaona wahaya kwa sifa zao huko msibani Picha linaanza na tangazo la msiba pale radio one utasikia matangazo ya vifo familia ya Ruge wanatangaza kifo cha mpendwa wao kilichotokea South Africa akiwa kwenye matibabu huku...
  10. Mnyongeni Mnyonge

    Gari inauzwa

    Mzigo sokoni TOYOTA HARRIER 5S ENGINE 4 CYILENDER FULL AC NUMBER T884 BCL BEII MILION 11......MAONGEZI HAINA TATIZO Lipo Dar Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mnyongeni Mnyonge

    Woyooo Demu wangu anarudi

    Wazee nlimmisi demu wangu akija tuu ndoa alikuwa arabuni kama msaidizi wanyumbani raha iliyoje kurudi nyumbani. Akitua tuu ndoa sichelewi msio na madem walioenda nje post yenu inakuja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mnyongeni Mnyonge

    Car4Sale Benzi Kitu kitu bei mserereko

    Hamjambo haya wapenzi wa kitu chuma chuma achana na yale mabati njoo pm ndinga sokoni hiyooo
  13. Mnyongeni Mnyonge

    Car4Sale Benzi kaliiii Bei mserereko

    Hamjambo haya wapenzi wa kitu chuma chuma achana na yale mabati njoo pm ndinga sokoni hiyooo Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mnyongeni Mnyonge

    Benzi kaliiii Bei mserereko

    Hamjambo haya wapenzi wa kitu chuma chuma achana na yale mabati njoo pm ndinga sokoni hiyooo Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Mnyongeni Mnyonge

    Benzi kaliiii Bei mserereko

    Hamjambo haya wapenzi wa kitu chuma chuma achana na yale mabati njoo pm ndinga sokoni hiyooo Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Mnyongeni Mnyonge

    Kenge wewe

    Hamja mboo?? Nani mwenye ujasiri huo Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Mnyongeni Mnyonge

    Short or Tall who is better in bed

    When it comes to which height do better in bed we have many different opinions. Matatizo, 32, insists that he has been with girls his height 5.9ft and girls who are 5.3. He says, “The only difference is that a girl who is much shorter than me is, given a normal build, more manuverable in bed...
  18. Mnyongeni Mnyonge

    Muendelezo Kuhusu CCTV

    Habari ndugu zangu wana JF baada ya kuwapatia salamu za heri kwenu naomba niendelee na kile nlichokianzisha elimu kuhusu CCTV. Aidha kwenye topic iliyopita tuliweza kujifunza habari kidogo kuhusu CCTV aina muundo ufanyaji wa kazi ila kwa hapa ntakupa muendelezo mdogo ambao utakusaidi kung'amua...
  19. Mnyongeni Mnyonge

    Msaada wa Speaker Maalum zinazotumika kwa P.A

    Naomba msaada wenu nani anaeuza speaker hizi nazihitaji
Back
Top Bottom