Mnyongeni Mnyonge
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 628
- 731
Naomba msaada wenu nani anaeuza speaker hizi nazihitaji
Hizo public address (PA) speakers ukaziulizie kwenye maduka ya electronics. Sijui uko wapi ungekuwa Mbeya ningekuelekeza duka. Lakini hata hivyo kwa kuwa spika hizi ni kwa wateja maalum wachache huenda ikawa vigumu kupata labda kwa oda.
habari yako, kama uko dar alafu unauliza utazipata wapi humu jamii forum basi huna nia ya kuzipata! lakini kifupi naweza kukusaidia
Mkuu ahsante kwa msaada by the way mi nahitaji speaker maalum zile huwa zinatumika kuelezea suala fulan sehem flan hususan nalenga kufunga hizi speaker shuleni kwenye mabweni so mtu anaweza aka announce emergency au tangazo na wahusika wote wakasikia by the way spika nnazotaka mm ni zile horn speaker
speaker hizi unaweza nunua kwa aina mbili
1. unaweza nunua zikiwa complete kabisa toka dukani au
2, unaweza nunua only speaker na cover za nje ukachonga wewe mwenyewe (wengi hupendelea hii kwa kuwa hupunguza gharama)
lakini kumbuka unaponunua speaker hizi kuwa kuna speaker na amplifier, amplifier ni ile inayotumika kutoa base, maana unaweza kuwa na speaker bila lakini amplifier huna, pia inaweza fanya kazi though speaker zako zitakosa nguvu!
roughly gharama zake ni hizi
1, speaker ndogo nzuri mpya unaweza pata kwa 700,000@
2, amplifier unaweza pata kwa 1 mil moja
3 pia unahitaji mixer 400000 au 500000
4 pia booster 700000
5. usisahau mic 200000-300000
6. laptop kama huna pia lazima uweke gharama yake pale 500000-800000 laptop nzuri
unaweza ni pm pia kwa maelezo zaidi
Kumbe zile spiker wanazotumia Machinga dah! ''Dawa ya mende,panya,kunguni viroboto'' kuna majamaa huwa yanatangaza barabarani.... aende pale duka la Ms Megji zipo bei ya sale hazina wateja bei kama wanasafisha Duka lao kwa vitu vya kale visivyonunulika zipo za size tofauti tofauti zenye record na zisizo record pia zipoHizo public address (PA) speakers ukaziulizie kwenye maduka ya electronics. Sijui uko wapi ungekuwa Mbeya ningekuelekeza duka. Lakini hata hivyo kwa kuwa spika hizi ni kwa wateja maalum wachache huenda ikawa vigumu kupata labda kwa oda.
tofaut ya booster na amplifier nnhabari yako, kama uko dar alafu unauliza utazipata wapi humu jamii forum basi huna nia ya kuzipata! lakini kifupi naweza kukusaidia