B[ELIMU KIDOGO KUHUSU CCTV]

B[ELIMU KIDOGO KUHUSU CCTV]

Wanajf wenzangu Habari zenu
Salamu ziwafikie popote mlipo na jitihada za kujua na kusongesha maisha yenu kwa ujumla.
Turudi kwenye mjadala kama nilivoainisha kwenye kichwa cha habari.
Nliehapa mbele ni mtanzania mwenzenu nlijifunza mambo haya ya CCTV ntawaeleza ka ufupi kidogo mwenye maswali namkaribisha ili aweze kuuliza kwa upeo wangu ntamjuza kila nikijuacho bila hiyana maarifa kupeana bwana hata biblia imesema Tusinyimane refer kitabu cha Wakorinto
Tunapoongelea CCTV wengi hudhani tunaongelea ile television ya watu wa jamhuri ya watu china kwa sababu ya haya maneno yanafanana ila kwa hapa naongelea CCTV zile hutumika kwenye ulinzi na usalama(safety and Security) pia hutumika kusimamia(Monitoring) matukio ya sehemu fulani dhumuni ni kwa ajili ya usalama na ulinzi.
CCTV hizi kwa kirefu ni CLOSED-CIRCUIT TELEVISION ambazo zimegawanyika katika makundi makuu mawili yenye vipengele a,be, che ,de na kuendelea.
Nikianza na kundi namba moja ni IP CAMERA
IP CAMERA(INTERNET PROTOCAL CAMERA) hii ni aina za camera ambazo mfumo mzima wa kusoma mawimbi kutoka kwenye lens mpaka kuzifikisha kwenye server na kuyabadili mawimbi hayo kuwa Video huwa zinatumia mfumo wa kimtandao wa anuani za kimtandao(INTERNET PROTOCAL ADDRESS) samahani kiswahili chake kinanisumbua kwa mfano ukiangalia simu/computer yako inaweza ikawa inatumia ip adress flan kama 192.168.1.100 au 10.1.1.100 zipo as many as we can specify lakini kwa mfumo huo tajwa hapo sasa hizo address hufanya mashine yakupokelea mawimbi kwenye huu mfumo inaitwa NVR (NETWORK VIDEO RECORDER) kutambua kila kamera na anuani yake na kuconvert mawimbi ya video kuwa video na kuweza kuyaona kwenye screen au monitor kutoka kwenye camera husika ambapo hii mashine huwa na address yake pia ambayo huwa na range inayofanana na camera za sehemu husika.
PILI: ANALOGY/DIGITAL CAMERA hizi ni aina ya pili ya kamera za CCTV ambazo huwa na mfumo tofauti na kamera za IP zenyewe hizi husafirisha mawimbi yake kwa njia sijui niite mechanical ni kwamba lensi inachukua picha camera inaipeleka kwenye mawimbi ambayo yanasafirisha kwa njia ya umeme na baada ya hapo mawimbi yale yatafika kwenye server ambayo kwenye IP camera inaitwa NVR ila kwenye Aina hii ya pili hii mashine inaitwa DVR(DIGITAL VIDEO RECORDER) hii huchukua yale mawimbi na kuyabadilisha kuwa video na kuweza kuyaona kwenye video screen au monitor.

Hizi aina zote mbili za camera zmegawanyika katika vimakundi vidogo dogo kutokana na muundo,mtindo na ufanisi wa camera husika

A:aina zote za camera zipo camera kwa ajili ya ndani na kwa ajili ya nje kamera za ndani maranyingi huwa zipo kwa muundo wa DOME na camera za Nje zipo kwa muundo wa BULLET

BE:Aina zote za camera zinatoa picha zenye ubora mzuri kutegemeana na sehemu husika umbali ,mazingira na uclear wa sehemu husika
Nikiwa na maana hii camera nyingi za IP huwa zipo clear sana huwa znakuwa na uwezo wa ziada ukifananinsha na za Digital au Analogy kwa sababu hizi za IP ni advanced technology ukicompare na za DIGITAL

CHE:hizi camera zote zipo ambazo ni waterproof,bulletproof na vandal proof kutegemea na sehemu husika zinapofungwa kiuhalisia nyingi zinazowekwa nje huwa ni waterproof sababu ya mvua na jua nyingi huimili hizo tabu

DE:katika mifumo yote ya camera unaweza kuhifadhi matukio yaliyopita kutegemeana na ukubwa wa hard disc uliyoweka kwenye mashine kwa mfano hard disc yenye ukubwa wa terabyte 1 inaweza kukaa na video siku nyingi iwezavyo kutokana na idadi ya camera kwa mfano kamera nne znaweza kukaa kwenye 1tb harddisc kwa mwezi mmoja ila mashine nyingi na camera zinaweza kuwa ni zile ambazo huanza kurekodi tu pindi kunakuwa na movement kwa maana hiyo hufanya recording once zikidetect motion kama mashine hizo zikiwa na uwezo huo 1tb harddisc inaweza chukua muda mrefu zaidi.

FE:Mifumo yote ya camera inauwezo wakuunganisha na network nakuweza kuona camera zako zikifanya kazi kwenye simu au computer popote ulipo mbali na nyumba yako au sehem camera zako ulipozifunga kwa mfumo wa routing pia kwa sababu ya watu kuwa na tatzo la kubebwa kwa hizi mashine na ushahidi kupotezwa pia unaweza hifadhi recorded video on cloud server ambapo utaweza kufanyia backup kupitia cloud account yako.

Naomba niishie hapa kama unaswali lolote niulize
Ukitaka kufungiwa pia usisite kuniPM tufanye kazi kwa gharama nafuu ahsante kwa kufuatilia naruhusu maswali na majadiliano
USENGWILE VALONGO VANGU👏👏👏
Ungetujulisha bei zake.
 
Thanks broo napenda sana kujua hii kitu

USENGWILE VALONGO VANGU[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom