Search results

  1. SHINYAKA

    Napata maumivu ya nyonga wakati wa usiku

    Wana JF Doctor, Naomba msaada wenu, napata maumivu sana. 1. Usiku wakati wa kutaka kulala nyonga yangu huniuma sana mpaka nitulie kwa kulala chali. 2. Asubuhi nikitaka kuamuka napata maumivu makali kama ya misuli sehemu ya katikati ya matako kuja kwenye mapaja kwa nyuma, hali hiyo hunichukua...
  2. SHINYAKA

    Naomba kujua pa kupata dawa inayoitwa Bio-Tab for Septic system

    Salaam wadau, Naomba anayefahamu madawa haya yanauzwa wapi tufahamishane. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. SHINYAKA

    Anayezifahamu Digitek Decoders anisaidie

    Wadau na wanajamii, heri ya mwaka mpya Jamani kama kuna mwanajamvi anajua kuhusu Decorder hii naomba msaada: 1. Namna ya kufanya dish installation 2. Namna ya ku update Nawasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. SHINYAKA

    Nahitaji AutoCAD 2019 software

    Kwa wale wataalamu wa software, nahitaji software niliyoitaja hapo juu. Aliyenayo tujulishane
  5. SHINYAKA

    Mtoto kuanza kuota meno ya juu

    JF Doctors nauliza, je! Yana matatizo kiafya? Maana yamesemwa mengi, mengine yanatisha. Kwenu wataalamu wa Afya!!
  6. SHINYAKA

    HELP THIS WWan Bearer!

    Hi all JF MEMBERS I'm using a TOSHIBA Lap top running windows Vista Satellite, to connect I use a 3 mobile broadband dongle, the connection is fine and works well, however before it connects I am geting the following message: "Software activation has made '636' unsuccessful attempts over...
  7. SHINYAKA

    Wana jamiiforums huko uganda, msaada

    SALAMU. NAOMBA MSAADA WENU ILI NIPATE MATOKEO YA FORM SIX YA MWAKA JANA 2010 (MTIHANI ULIFANYIKA 27 SEPTEMBA) Tafadhalini naomba kufahamishwa ili nipate kujua kijana wangu akisoma huko shule za Uganda.
  8. SHINYAKA

    Huko uganda, msaada wa matokeo ya good shepherd high school (bweyogerere) 2010

    ndugu wana JF mulioko huko Uganda, salama? kama kichwa cha habari hapo juu, naomba munisaidie Address ya mtandao wa baraza la mitihani la huko uganda ili niweze kuangalia matokeo ya kijana wangu alikuwa anasoma katika shule niliyoitaja hapo juu. Tafadhalini. Asanteni
  9. SHINYAKA

    Matokeo ya vyuo vya ualimu mwaka huu, mbona yanachelewa?

    wana jf, habari, naomba kuhabarishwa aliye na taarifa ya matokeo ya vyuo vya ualimu iliyofanywa mtihani wake may 2001 naomba kuwakirisha.
  10. SHINYAKA

    Ni dalili ya maradhi gani?

    JF Doctors, mimi nina tatizo, kila ninapoenda haja ndogo (kukojoa) hufuatia maumivu yenye kuashilia kama sijamaliza kukojoa, baada ya muda kidogo nikienda kukojoa kwa kukamua hutoka mkojo kidogo na hapo ndipo hupata nafuu kidogo. Je! Hii ni maradhi gani?
  11. SHINYAKA

    Miguu yangu jamani

    Ma-Doctor wa JF, naja kwenu nachechemea, tafadhali nipeni fafanunuzi kinachonisibu ni nini? Dalili zinisumbuazo ni hizi:- 1. ngozi ya Miguu inauma kwa mtindo wa kuwasha, kuanzia magotini hadi makanyagioni hasa ukivaa suluari ikawa inagusagusa unapotembea. 2. Wakati ukioga jioni, ukiimwagia maji...
  12. SHINYAKA

    Wana jf:- HALI YA HEWA

    Wana-hali ya hewa naomba msaada kwenu, katika mkoa wa Morogoro ni tarehe ngapi mvua zilinyesha na kwa nchi ngapi katika mwezi wa April na May 2011. Nawakilisha.
  13. SHINYAKA

    Msaada wa maradhi ya "allergy"

    MADAKTARI WA JF. ASALAAM ALEIK, NA BWANA YESU ASIFIWE SANA. Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la ALLERGY kwa miaka mingi sasa, ninachojua mimi ni kuwa nina maradhi hayo, hasa sitakiwi kugusa House dust, mwili huvimba utafikiri nimegusa upupu, au nimewashwa na mdudu washa washa. hii hutokea hasa...
  14. SHINYAKA

    Lap top system restoring

    HABARI ZA FEB 20011 WANA JAMIIFORUMS WOTE MIMI SIJAMBO, katika ukumbi huu wa technology & Science, wajuzi wa mambo ya ''IT'' naomba msaada wa ujuzi wa ku-restore Laptop yangu. kila nikijaribu inatoa ujumbe kuwa haikufanikiwa kukamilisha. Laptop yangu ni aina ya TOSHIBA, ina WINDOWS VISTA...
  15. SHINYAKA

    Kuunga kwenye internet nokia (ya kihindi) 2690

    Wana jamii forums, wale wajuzi wa vilongalonga vya mkononi, nisaidieni jinsi ya kuiunga simu yangu aina ya nokia 2690 kwenye mtandao wa internet. Natanguliza shukrani zangu kwenu,
  16. SHINYAKA

    On-screen keyboard

    Salaam wana jamiiforums. naomba msaada kwenu kwa wale waliobobea katika elimu ya ya Computer. nimekuwa nikisumbuliwa na On-screen key board inajitokeza kila ninapofungua Computer yangu (Lap top). tafadhali waungwana.
  17. SHINYAKA

    Cartoonist collage

    Habari zenu wana jamiiforums. kwa wale wakaazi wa Dar es salaam Tz, naomba msaada, ni chuo gani hapa Dar kinachofundisha utengenezaji wa picha muondoko za cartoon kwa kutumia Computer? palipo na wengi hapaharibiki jambo. mail yangu ni henryideka@hotmail.com, tafadhali waungwana naomba nifahamishwe.
Back
Top Bottom