Huko uganda, msaada wa matokeo ya good shepherd high school (bweyogerere) 2010

SHINYAKA

Member
Oct 6, 2010
74
39
ndugu wana JF mulioko huko Uganda, salama?
kama kichwa cha habari hapo juu, naomba munisaidie Address ya mtandao wa baraza la mitihani la huko uganda ili niweze kuangalia matokeo ya kijana wangu alikuwa anasoma katika shule niliyoitaja hapo juu.
Tafadhalini. Asanteni
 
google uganda examination council. utapata kila kitu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom