Wana jamiiforums huko uganda, msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana jamiiforums huko uganda, msaada

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by SHINYAKA, Oct 5, 2011.

 1. SHINYAKA

  SHINYAKA Member

  #1
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 25
  SALAMU.
  NAOMBA MSAADA WENU ILI NIPATE MATOKEO YA FORM SIX YA MWAKA JANA 2010 (MTIHANI ULIFANYIKA 27 SEPTEMBA)
  Tafadhalini naomba kufahamishwa ili nipate kujua kijana wangu akisoma huko shule za Uganda.
   
 2. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Just google his name utayapata.
   
 3. serio

  serio JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,930
  Likes Received: 1,148
  Trophy Points: 280
  in uganda, hakuna mitihani inayofanywa september, hata wa darasa la saba hufanya early november.,
  mitihani ya form six hufanywa november, hadi december.,
  mayb if its not national exams
   
Loading...