SHINYAKA
Member
- Oct 6, 2010
- 74
- 39
HABARI ZA FEB 20011 WANA JAMIIFORUMS WOTE
MIMI SIJAMBO,
katika ukumbi huu wa technology & Science,
wajuzi wa mambo ya ''IT'' naomba msaada wa ujuzi wa ku-restore Laptop yangu.
kila nikijaribu inatoa ujumbe kuwa haikufanikiwa kukamilisha.
Laptop yangu ni aina ya TOSHIBA, ina WINDOWS VISTA, Intel Pentium inside (Satellite)
Thanx