Napata maumivu ya nyonga wakati wa usiku

SHINYAKA

Member
Oct 6, 2010
74
39
Wana JF Doctor,

Naomba msaada wenu, napata maumivu sana.

1. Usiku wakati wa kutaka kulala nyonga yangu huniuma sana mpaka nitulie kwa kulala chali.

2. Asubuhi nikitaka kuamuka napata maumivu makali kama ya misuli sehemu ya katikati ya matako kuja kwenye mapaja kwa nyuma, hali hiyo hunichukua kama nusu saa, baadae naendelea na vizuri kama kawaida.

Naomba musaada wenu.
 
Wana JF Doctor,

Naomba msaada wenu, napata maumivu sana.

1. Usiku wakati wa kutaka kulala nyonga yangu huniuma sana mpaka nitulie kwa kulala chali.

2. Asubuhi nikitaka kuamuka napata maumivu makali kama ya misuli sehemu ya katikati ya matako kuja kwenye mapaja kwa nyuma, hali hiyo hunichukua kama nusu saa, baadae naendelea na vizuri kama kawaida.

Naomba musaada wenu.
YAJUE MAUMIVU YA KIUNO, MGONGO NA NYONGA KWA WANAUME NA WANAWAKE NA TIBA YAKE KIASILI

Tatizo hili huweza kumpata mtu yeyote. Maumivu ya kiuno
huanza chini ya mgongo na kukamata katika vifupa vilivyo kwa chini
karibu na makalio. Maumivu haya husambaa kulia na kushoto na
wakati mwingine huteremka hadi mapajani. Pamoja na kuwepo katika
vifupa hivyo pia ndani zaidi huweza kusababisha maumivu haya
yatoke kwa ndani na kusambaa nje yaani katika eneo la kiuno.

Maumivu ya nyonga huweza kutokea sambamba na maumivu ya
kiuno au nyonga yakawa peke yake. Nyonga huunganisha miguu Na
mifupa ya mapaja inayotengeneza kiuno. Nyonga ndiyo inayofanya
utembee, inakuwezesha kutoka sehemu moja hadi nyingine, kukaa
kuruka…

SABABU ZINAZOPELEKEA MAUMIVU YA KIUNO NA NYONGA
1.kujichua muda mrefu hupelekea maumivu hayo
.zipo dawa za kuacha kujichua na kurudisha nguvu ukiihitaji ,andika #nahitaji mujarabu
2.Namna ya kulala (style) /godoro linaweza kukusababishia maumivu hayo
3.Kubeba mizigo kwa kuinama na mzigo,

4.mawazo (stress) nyingi
5.kulala kwa muda mrefu na matumizi mabaya ya MTO ,

Je ukipuuza maumivu haya haya na kuyachulia ni suala LA kawaida unaweza kuathirika kivipi?
1.Hupelekea kushindwa kufanya tendo LA ndoa
2.hupelekea kupooza kwa baadhi ya viungo vya mwili
3.hupelekea kuwahi kufika kileleni mapema wakati wa tendo na kushindwa kurudia
4.Unaweza kushindwa kutembea kabisa /kunyanyuka, utakaa ukiwa umelala

jitibu maumivu ya mgongo na nyonga kwa dawa ya (kipasi backbonepain) ya kupaka ambayo itakuondolea maumivu hayo kwa siku 7 tu na utarudi katika hali nzur ,ni dawa Kali sana kwa maumivu ya mgongo.
Dawa yake ipo nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako.
 
Naomba Ushauri kwenye hili tafadhali dk mziziMkavu na wengine wenye ufahamu juu ya tatizo hili kama linavyoonekana kwenye picha!! Nahitaji kwenda hospital ila nawaza nisije zua mengine
Screenshot_20220711-220841.jpg
 
Back
Top Bottom