Cartoonist collage | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cartoonist collage

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by SHINYAKA, Oct 6, 2010.

 1. SHINYAKA

  SHINYAKA Member

  #1
  Oct 6, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 25
  Habari zenu wana jamiiforums.
  kwa wale wakaazi wa Dar es salaam Tz, naomba msaada, ni chuo gani hapa Dar kinachofundisha utengenezaji wa picha muondoko za cartoon kwa kutumia Computer?
  palipo na wengi hapaharibiki jambo.
  mail yangu ni henryideka@hotmail.com, tafadhali waungwana naomba nifahamishwe.
   
 2. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sijafanya utafiti wa kina. Hata hivyo najua kuwa hakuna. Kama kingekuwepo TZ basi likely kingekuwa located DSM. Dar hakuna kitu kama hicho. Suala la Animation na Visual effects TZ ni duni. Niliwahi kuuliza swali kama lako lakini ikaonekana sehemu kubwa ya wana-JF hawana idea na mambo kama haya. Watu wa kenya wako advanced sana kuliko sisi katika fani hii. NB. Leo nimeona video ya mwanamuziki Juacali wa kenya yenye katuni muondoko 100%. Nice work!
   
Loading...