Search results

  1. michibo

    Kwanini benki hutoza wateja ada kwa kutoa pesa zao wenyewe?

    Habari za leo wakuu, Leo tujadili hizi tozo za mabenki [withdrawal charges] kwa wateja ambao kimsingi ndio wamiliki wa fedha hizo. Mteja anatunza pesa yake benki, na benki zinaifanyia biashara [kukopesha] kwa faida. Kisha mmiliki akihitaji kutoa kiasi chochote kwa matumizi yake hutozwa 'ada'...
  2. michibo

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya bucha

    Naomba kupata ABCs za biashara ya bucha. Kuanzia vifaa vinavyohitajika gharama zake, vibali na upatikanaji wake. Ikipendeza zaidi, basi na bei ya nyama machinjioni na makadirio ya faida kwa kilo. Na taarifa zote muhimu zinazohitajika. Natanguliza shukrani. ===== Mchango wa mdau
  3. michibo

    Tuwaandae vijana wetu jinsi ya kuishi katika dunia ya wanawake waliowezeshwa

    Ndugu zangu, salaam! Kumekuwa na kampeni nyingi za kumwinua mwanamke kutoka katika hali ambayo hapo awali ilitafsiriwa kuwa ni ukandamizaji, na matokeo ya hatua hizo ni dhahiri yashaanza kuonekana kwenye nyanja tofauti kwa kadri ya muda. Wakati wote huo hakuna lolote linalofanyika kwa ajili ya...
  4. michibo

    Nimegundua furaha yangu haipo kwenye utajiri wa vitu, nikisaidia watu nakuwa na amani zaidi

    Ndugu zangu! ”Ukitaka kufurahia maisha, tafuta mtu wa kumlaumu.” Nimewahi kuishi katika msemo huu, kisha nikaamka na nikajitafuta upya. Sijui kama nitakuwa na maelezo mazuri ya kuliweka vizuri hili, si unajua kuna vile ‘vi-furaha vidogo vidogo’ ambavyo hata huwezi kumsimulia mwenzio! Mfano ni...
  5. michibo

    Rushwa inavyotawala uandikishaji watoto Darasa la Kwanza. Case study ya Olympio na Diamond Primary Schools

    Kweli ‘mujini’ mipango, salamu kwenu ndio kitu cha bure. Karibuni kwenye mada. Shule tajwa ni kati ya shule bora na kongwe mjini Dar es Salaam ambazo zipo chini ya serikali na zikiendesha masomo kwa lugha ya Kingereza, zimekuwa kimbilio la wanyonge kulingana na Ada zake kuwa nafuu sana...
  6. michibo

    Nahitaji ushauri: Nahisi nimekurupuka “kumhifadhi” huyu dada mjamzito

    Heshima kwenu ndugu zangu. Naomba muda wenu na mawazo yenu nipate ABCs za kuzingatia katika hili suala, limenikaa hapa nami sikuliwazua kwa upana wake kabla ya kuamua.... nitaelezea kwa uchache hii scenario. Ni dada mmoja mhitimu wa chuo ngazi ya stashahada, nilifahamiana naye miaka miwili...
  7. michibo

    Mashine za "kutotoresha" mayai ya kuku.

    Habari zenu wanaJF..: Nahitaji mashine tajwa, kwa mwenye ufahamu kuhusu wapi naweza kupata kwa Dasilamu, aina (size) zake na bei tafadhali.
Back
Top Bottom