Search results

  1. L

    Wataalamu msaada tafadhari,

    Nina Toyota harrier sasa inafanya ndivyo sivy kabisa kwenye braking system.Tatizo lilianzia kwenye kuwaka ( blinking) taa ya overdrive.Lakini gear zinabadika kwenye mwendo kama kawaida.Sasa Ikafuata taa ya ABS kuwaka mafundi baada ya kuwa nakanyaga foot pedal na brake zinakamata kwa manati hadi...
  2. L

    Kwa wataalamu naombeni ushauri wa tatizo hili

    5 s engine ya Toyot harrier yenye km 189 k inachemka balaa,na inakula oil kama jini.system zote zs cooling na lubricating zimefanyiwa kazi lakini bado haifanani,pumps z water na oil zinafanya kazi, ila inalamba oil kama imetumwa huku kipimio kikionyesha low pressure oil. Fundi wa ziada...
  3. L

    Nyumba inauzwa vingunguti kidarajani.

    Haya tena suluhu ya kuishi mabondeni.Nyumba nyumba 6 vingunguti kidarajani hapo kwa bei ya kutupa kwa wenyewe matatizo ya kusumbuliwa na mafuriko.Bei ya kuongeza kabisa.Ipo kweny eneo hilo la kidarajani vingunguti mkabala kabisa na Barabara.Inafaa Sana kwa familia. Karibu ukague na nakuona...
  4. L

    Ushauri kuhusu gari ya kununua

    Wajuzi naomba ushauri baada ya kujichanga na ni mpya ktk kumiliki usafiri. Lipi gari zuri kwa matumizi private, ukizingatia uchumi pande za spare, durability, running expences kati ya prado, harrier na kluger.
  5. L

    Hii harrier inakwaza. kiutendaji.

    Wataalamu karibuni mniondolee tatizo.Namilki kiharrier changu ila kinanikwazwa niwapo safarini.Nikiapply ac ktk kipindi baada ya nusu saa hv taa ya low oil pressure inajitokeza dashboard.Nikiizima hiyo ac naendelea na mwendo bila engine kutikisika wala sauti na hiyo taa ya oil pressure...
  6. L

    Binadamu wana roho mbaya lakini ya huyu dogo ni hatari

    Najiuliza hivi huyu dogo Rais wa Korea aliumbwa au ni mzimu fulani umezuka hapa Duniani. Dogo anachinja mawaziri wake kama ndege zinazonyunyizia dawa ya kuua quelea quelea huko kwa wairaki Manyara. Mtu ana roho mbaya kiasi cha kuagiza binadamu asambazwe kwa kombora la kutungulia ndege. Imagine...
  7. L

    Wanazuoni msaada kwa huyu jamaa msumbufu.

    Nina ndugu yangu amekuwa Ni msumbufu sana kwa Jamii.Huyu bwana ameanza muda mrefu kuwa kero toka kwa ndugu zake hadi Jamii mzima inayomzunguka hapa kjjn. Tatizo lilianza Kama Miaka 14 hv iliyopita baada ya kulianzisha akiwa Ni mjukuu wa marehemu kugombea urithi wa shamba kati yake na watoto wa...
  8. L

    Mlioupitia waraka wa elimu bure msaada wenu.

    Naomba kujuzwa kati ya michango na ada iliyoondolewa elimu ya sekondari ada ya mtihani wa taifa /necta imeondolewa pia au?
  9. L

    PSPF: Haya ni mateso

    Imebidi kuja jukwaani maana pa kupata msaada hakuna tena.Ni ajabu kuweka matangazo kibao kwenye media mkijisifu juu ya huduma zenu wakati mnashindwa kutulipa wastaafu ambao baadhi tunakaribia mwaka mzima na hakuna kinachoeleweka. Serkali iingilie kati ikiwezekana jukumu lirudishwe hazina maana...
  10. L

    Wadau ingieni channel ten

    sasa hv mada moto watu wanaangusha waliyo nayo moyoni.Chungulieni sasa hv.
  11. L

    Ahsante Mungu

    Nasema ahsante Mungu.Kama Lowasa asingegombea kupitia umoja wa vyama vya ukawa nina. uhakika kwamba wanamabadiliko tungesambaratika asubuhi kwani inaonyesha viongozi wetu Lipumba na Slaa wangeleta msuguano kati yao kukubaliana na uteuzi wa mmoja wao.Hii ni wazi kutokana na style waliyoitumia...
  12. L

    CCM hili mnalifahamu?

    Baada ya utafiti wangu nimegundua vijana wanaoshabikia ukawa asilimia kubwa hawafahamu kitu kinachoitwa ilani ya chama au sera.Wao wanachojua ni kwamba wana maisha magumu kutokana na ccm kuwa madarakani.Wanakosa elimu bora ,matibabu na madawati shuleni kwa vile ccm ipo madarakani.Wanachokijua...
  13. L

    Hii ya kugawa pesa kipindi hiki wananchi mnalichuliaje?

    Mwezi wa pili mwaka huu nikiwa wilayani Karagwe serkali kupitia taasisi Tasaf walipita vijijini kuandikisha familia zisizo na uwezo kwa madai kwamba watakuwa wanapewa posho kila mwezi hatukujua lengo lao ni nini. Toka wakati huo hadi Leo hao walengwa hawajawahi kuletewa hata senti moja.Ajabu...
  14. L

    angry makambo wazi "Jigga"

    Jigga lete upddates Arusha kwa muda huu.
  15. L

    Balozi wa amani katumwa na nani Channel Ten?

    Wanajamvi mliofuatilia kipindi cha mada moto Channel ten 12/8/15 alialikwa jamaa ambaye alidai yeye Ni balozi wa Amani. Mada ilihusu kauli za viongozi zinazoweza kuelekea uvunjifu wa Amani uchaguzi mkuu ujao. Huyu bwana ktk mchango wake alishutumu kauli ya EL juu ya kauli kwamba CCM Ni wezi wa...
  16. L

    CCM huku kwetu (UKAWA) habadiliki mtu

    Habari ya asubuhi wanajamvi. Natamka wenzetu waelewe kwamba kuanzia sasa si rahisi kumbadilisha mwana UKAWA kuelekea kwao, sana sana tunachota kwao mamia kwa maelfu kila sku kuja kwetu. Mtambue kwamba hakuna sera yoyote Mtanzania anaweza kuona itamsaidia zaidi ya kujua kwamba mnang'ang'ania...
  17. L

    ccm huu msindikizo wa Lowasa mmeandika lakini?

    Nawakumbusha ccm kama ya leo hamjaiandika tafuteni kalamu.Nangole wa Arusha kawapungia mkono wa kuwaaga kisha akahaidi wasaidizi wake saba hawajapata nauli ya kuja Dsm.Amehaidi kuwakabidhi kwa Ngoyai sku akitia timu Arusha.Nawaauliza tena ccm,hii nayo mmekumbuka kuiandika?
  18. L

    CCM mnaandika lakini?

    Ngoma nzito.Hao mnaowaita nyumbu,malofa wanazidi kuongezeka.Jana Mwanza wameenda cuf,Arumeru,Monduli wamechoma viparata vyenu,Mheza mmeshuhudia mamia wakivitupa kwenye dustbin.Kama hamjui hesabu hata picha hamuoni.Subiri j'tatu mshuhudie gharika.Hitimisho kwenye majukwaa.Jiandaeni mapema ki...
  19. L

    CCM hii imekaaje?

    Wadau naomba tuchambue hii, PM na VP Kukosekana kati ya tano bora baada ya mchakato wa uteuzi wadau mnaitafakari vipi.Ni kwamba kwenye uongozi wa Mhs JMK tulikuwa tunatumia baraka za mwenyezi Mungu maana hata kundi Linalodai kuwa na hazina ya viongozi wengi wazuri nalo limewakataa katu...
  20. L

    Karibuni hapa wenyeviti walomshabikia Lowassa

    Habari wanajamvi, Hivi wale wenyeviti 15 wa CCM waliomsindikiza El wakati wa kurudisha fomu ya utia nia pale Dodoma wanarudi mikoani mwao kuhamasisha wanachama wao kwamba El hafai au ameonewa? Watawaunganisha vipi wanachama wao ili waungane upya? Kuna wengine walifikia hatua ya kumfananisha na...
Back
Top Bottom